Amesema hayo akijibu swali la Mbunge wa Kigoma Mjini, Revocatus Chipando, aliyetaka kujua iwapo serikali itaongeza kiwango cha kutuma fedha kwa simu kutoka milioni 10 hadi milioni 50 na kupokea hadi Shilingi milioni 100.
Umeelewa kinachosemwa mkuu? Sio kupandisha Kodi, bali ni kiwango ambacho simu zinaweza kupokea.Pandisheni tu na hata ile kodi ya barabara wekeni pia ...tunajua tutalipizia vipi hizo hasara si mnaona watu wote wase.nge...
Kila mtu ashinde mechi zake..
Asante.Umeelewa kinachosemwa mkuu? Sio kupandisha Kodi, bali ni kiwango ambacho simu zinaweza kupokea.
hahahahahaa, wachangia MADA hii wengi hawajaelewa na wanaweza wasielewe, nini kimesemwa, watakimbilia kulaumuUmeelewa kinachosemwa mkuu? Sio kupandisha Kodi, bali ni kiwango ambacho simu zinaweza kupokea.
hahahahaha, wanaongeza kiwango cha kupokea hela kwenye simu kutoka 10m ifike 50m na sio makato, kama makato. yataongezeka kwa kutokana na hiyo miamalaHawajifunzi yanayoendelea huko ufaransa na uingereza.
Acha washupanze shingo. Tz bado cheche tu moto unalipuka.
Yote ni kwasababu tuna taifa la watu washenzi
Na wewe pia mkuu pamoja sana tu 👊🏿🤜🏿🤝🏿👍🏿Asante.
Ubarikiwe..
hahahahahaha,hao ndio GT UJUEIla wabongo kwa kukurupuka hawajambo yaani mada na maoni ya wachangiaji yako tofauti kabisa.
WAtu wanatembea na vitu vizito vifuani so akikutana na kitu kinachofanana na kumkera lazima alipukeIla wabongo kwa kukurupuka hawajambo yaani mada na maoni ya wachangiaji yako tofauti kabisa.