FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Kigogo ni lugha ya Wagogo toka Dodoma, sababu zinazopelekea kuipendekeza lugha hii kuwa lugha ya Taifa ni:
Kwanza ina kitu tunachoita Yodo, kisomi Yodo ni hali ya muziki wa utulivu toka nyimbo za Afrika Kusini, Wanyakyusa, Wanaigeria na nyimbo za marehemu Komba.
Pili wanaozungumza Kiswahili cha Kigogo huwa na lafudhi tamu na huzungumza lugha ya Kiswahili katika utulivu mkubwa na inayovutia sana.
Nina ushahidi kuwa Professor mmoja toka UDSM aitwae Prof. Strumph Mmarekani toka idara ya FPA (Fine and Performing Arts) anaifanyia utafiti miziki ya kilugha ya Kigogo na huwa wanafunga safari kwenda Ugogoni.
Mwisho, tutatainua soko la ajira kwa walimu wa Kigogo na kuongeza uwanja wa Utalii kujifunza.
Mfano wa nyimbo wenye mahadhi ya Kigogo ni wa mwanamuziki wa injili Bibie Rose Muhando uitwao Moyo wangu.
Karibuni kwa maoni.