Habari ndugu zangu.
Kuna hii hospitali inayoitwa Machame hospitali, nimewahi kuwa na mgonjwa wangu pale siku chache zilizopita.
Ilifikia wakati akahitajika kuongezewa damu. Tulijitokeza ndugu kadhaa kutaka kuchangia damu lakini tuliambiwa pamoja na kutaka kuchangia damu inatubidi tulipie shilingi 6000 kwa ajili ya kupima blood group na vipimo vingine kwenye damu.
Kwa mazingira hayo ya kulipia 6000 ni mtu mmoja tu aliweza kulipia hiyo 6000 na wengine waliacha kuchangia kutokana na hizo gharama ambazo hazijulikani zimeanza lini maana bado hatujazisikia kabla.
Kwa kweli hizi gharama zinawakatisha tamaa wanaohitaji kujitolea damu kuokoa uhai wa wengine.
Naomba kufahamu huu utaratibu wa kuchangia shilingi 6000 kila mtu achangiapo damu ni rasmi? na kama siyo rasmi basi hatua za haraka zichukuliwe kuondoa hiki kikwazo.
Wizara ya Afya Tanzania