Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa awamu ya kwanza. Hizo % ni za awamu ya kwanza na sio project nzima ya ukarabati. Yani malengo ya awamu ya kwanza yametimia kwa zaidi ya 60%. Kwahiyo kuna awamu zingine ambazo hazijaanza kurekebishwa.The math does not mathing! Mradi utagharimu bilioni 30. Mradi umekamilika kwa 60-70% na sehemu nyingine 100% kwa kutumia bilioni 7. Kazi iliyobaki itagharimu bilioni 23?
Amandla...
Serikali inatarajia kutumia Tsh. 31,329,180,963.16 kwaajili ya Ukarabati wa Uwanja wa Michezo wa Benjamin Mkapa kwa awamu ya kwanza ambapo hadi kufikia Aprili 2024 Tsh. Bilioni. 7.44 zimelipwa kwa MkandarasiUmeambiwa awamu ya kwanza. Hizo % ni za awamu ya kwanza na sio project nzima ya ukarabati. Yani malengo ya awamu ya kwanza yametimia kwa zaidi ya 60%. Kwahiyo kuna awamu zingine ambazo hazijaanza kurekebishwa.