Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
watu wameanza kunyanyua nondo huku mtaani!,
Sawa Umeshindaππ.. am out πΆββοΈπΆββοΈkwamba wanaonyanyua vyuma ni kwa ajili ya kuwakaba shingo humanoid species kama mleta mada?
Me mwenyewe kibaka, wajichanganye waonePapaso litaanza na wewe...π
Kwakweli nimeshindwa mimiππMwenyekiti huyo hatumuwezi...π
Mpaka mmoja wao apigwe kwa nondo ndiyo watasikiaWamekusikia
hahaha noma sana.Mwenyekiti huyo hatumuwezi...π
Hapana, serikali yetu ni sikivu sanaπππMpaka mmoja wao apigwe kwa nondo ndiyo watasikia
Uongo mtupu, kwa hiyo huo uchawa wako umeona ndio kazi ?Unawaongelea vijana gani hao wajinga wajinga wasiojitambua. Vijana wanaodhani Diamond kabahatisha maisha bila kujitoa. Kwa ufupi vijana wa Tanzania ni wajinga tena wakose ajira wajinga sana tena sana. Wengi hawataki kufanya kazi kutwa nzima Kushinda vijiweni na kugongea msosi kwa wazazi wao. Serikali inabidi ipitishe sheria ukifia 18 uondoke kwa wazazi wako.
uko mtaa gani wewe.Serikali fanyeni namna watu wapate kazi watu wameanza kunyanyua nondo huku mtaani!,punde si punde wataanza kusema na shingo zetu kwenye vichochoro.. watu watabanwa mbavu watoe vya watu! Mi sisemi mengi