Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Ni vema kuwa na hofu maana tutachukua tahadhari!Nashauri serikali isitangaaze visa hivi vya Corona wanatia hofu tu wananchi, Kwani huu ugonjwa upo dar Arusha na Zenji pekee..?
Jibu ni No upo kila mahali hadi vijijini ndani ndani huko mikoani. Ila wanaishi kwa amani wanaugua na kupona bila kujua...sasa wqnavyozidi kutanganza wananchi wakijaa hofu Si miili itashindwa kupambana na magonjwa ya mwili.
Hakuna kitu kibaya kama hofu..Kinachoua ni hofu
Vipi kuhusu shule za msingi za maporin ambazo hata chaki tu ni mtihani umeme wanafunzi hawajawah kuonaUwezekano wa kufunga shule J3 haupo, napendekeza mfuko wa kupambana na Covid19 uvisaidie vyuo na mashule viwezeshi vya kuandaa magunzo kwa njia ya mtandao. Imekuwa kawaida walimu na wahazili huamka kwenda ofisini na kurudi nyumbani nothing to do, mbona wasijiongeze kuwawezesha wanafunzi wao kipondi hili cha lockdown ya corona.