Chapa mpaka ilale
Senior Member
- May 17, 2018
- 152
- 159
C washajua tanzania MAZUZU ata diamond akiumwa kuna mijitu inaweza kumchangiaDah!!! Bila hata aibu yani
Tuichangie wakati wao
Wamekumbatia mapesa
Too shame
C washajua tanzania MAZUZU ata diamond akiumwa kuna mijitu inaweza kumchangiaDah!!! Bila hata aibu yani
Tuichangie wakati wao
Wamekumbatia mapesa
Too shame
Wazo ni zuri ila technologia hapa kwetu bado ni ndogo internet ni gharama na walimu ni washamba na wanafunzi ni washamba watanzania ni washamba internet speed ndogo TUTAWEZA WAPIHili wazo lako ni zuri, suala la wahadhiri kuwawezesha wanafunzi wao ( sijajua kuwawezesha kwa njia ipi) ni suala ambalo linatakiwa litolewe utaratibu na serikali na vyuo vitekeleze, wala sio suala la chuo husika kwa sababu zifuatazo:
1. Hakuna chuo kitakuwa na muhula wa masomo wa peke yake.
2. Hakuna chuo kitakuwa na utaratibu wa udahili wa peke yake isipokuwa tu ule ambao umetolewa na Regulatory authorities ( NACTE na TCU).
Na pia ikumbukwe kuwa mwanafunzi aliyedailiwa kusoma darasani kumbadilishia asome kwa njia ya mtandao anahitaji kuandalia, maana wengi wanatumia sana mtandao wanapokuwa chuoni maana vyuo vingi vina wi-fi, akiwa huko kwao kijijini mtandao atautoa wapi!
So, tusubiri mwongozo wa serikali, wala chuo kisijichukulie utaratibu wake ambao hata mamlaka zinazokisimamia hazijatoa utaratibu. Ila kujiandaa katika mfumo huo ni vizuri zaidi.
Inaitwa UFARA naomba niishie apoIsee!!!
Biashara sasa zimedorola na zingine kuelekea kukata kabisa Kwa sababu mtu hufanyi biashara Ila mwisho wa mwezi unatakiwa kurejesha madeni Bank, Mabenk ya kwetu yanaendelea kukomalia marejesho ya mikopo, Wakati nchi zilizokopa huko WB,IMF na sehemu zinginezo wanalia kusimamishiwa marejesho, au kufutiwa kabisa mikopo
Hili la kusimamishwa marejesho ya mikopo Kwa wafanyabiashara hapa kwetu mbona haliongelewi?
Hii comment inabidi iwafikie watu woteNashauri serikali isitangaaze visa hivi vya Corona wanatia hofu tu wananchi, Kwani huu ugonjwa upo dar Arusha na Zenji pekee?
Jibu ni No upo kila mahali hadi vijijini ndani ndani huko mikoani. Ila wanaishi kwa amani wanaugua na kupona bila kujua. Sasa wanavyozidi kutanganza wananchi wakijaa hofu Si miili itashindwa kupambana na magonjwa ya mwili.
Hakuna kitu kibaya kama hofu. Kinachoua ni hofu. No need to worry no matter how life is pretty miserable to us..The One who gives Life,He's Alive n Loyalty to Us.
Hili nalo litapita haijalishi litatuumiza vipi
Iko shida moja mkuu, hofu inaubaya na uzuri wake pia hasa Kwa jamii yetu hii, mtu anachapwa bastola pale Kwa jirani, na jirani yake anakimbilia kwenda kuangalia aone kinachotokea,Hii comment inabidi iwafikie watu wote
Mpaka sasa sioni Logic ya kutangaza idadi ya wagonjwa wa Corona,haipo kabisa
Kama mtu kagundulika ana ugonjwa apelekwe karantini,apewe huduma zinazotakiwa na in case amefariki basi ndugu zake wapewe taarifa kama ilivyo kwa vifo vingine vinavyotokea kila dakika
Serikali ijikite kuhasisha watu kujiepusha na njia zote zinazoweza kusababisha maambukizi
Kama idadi ya watu wanaoukufa kila siku kwa sababu yoyote ile ingekua inatangazwa kama huu ugonjwa?...kungekua na faida gani sasa
Basi nafikiri solution ni la mtu binafsi kufata maagizo yote yaliyotolewa na serikali pamoja na ku avoid pia Social Network .Iko shida moja mkuu, hofu inaubaya na uzuri wake pia hasa Kwa jamii yetu hii, mtu anachapwa bastola pale Kwa jirani, na jirani yake anakimbilia kwenda kuangalia aone kinachotokea,
Tuspotangaziwa, ule umakini na namna ya kuchukua tahadhari itapungua na huenda ikawa ni sababu ya jamii kubwa kuambukizwa
Wakitangaza, Napo kuna Ile kunyanyapaana hata kama mtu unahoma Ile ya siku zote
Ofisi ya Waziri Mkuu imejaa vilaza watupu, wanashindwa kutofautisha kati ya sherehe ya muungano na sherehe ya mapinduzi!Hapo maana yake Vyuo na Mashule vimefungwa kwa muda usiojulikana.
Alafu hiyo sherehe ya Mapinduzi ya April 26 ni ipi hiyo?