Mbundaereneus
Member
- Dec 3, 2019
- 38
- 10
Vipi kuhusu shule za msingi za maporin ambazo hata chaki tu ni mtihani umeme wanafunzi hawajawah kuona taarifa wataipata tu,dunia ya Sasa taarifa inafka bila shda
Vipi kuhusu shule za msingi za maporin ambazo hata chaki tu ni mtihani umeme wanafunzi hawajawah kuona taarifa wataipata tu,dunia ya Sasa taarifa inafka bila shda
Anza kufanyia kazi kwanza makosa yako kabla hujaenda kwa wengineTutalifanyia kazi Asante kwa tahalifa
Dah nahisi nitarudi Chuo nikiwa na miaka 50!..
Oy wakuu niko mwanza kama una mtoto wako naweza mfundisha masomo haya physics and mathematics. Hila pia biology and chemistry, pia natunga mtihani wa somo lolote na kukutumia whatsap pamoja na marking scheme (hiki uweze kum guide mtoto wako)lengo nipate hela ya vocha tu huku mwanao akiendelea kuelimika..ukihitaji namba nifate PM.
Mapinduzi ya tarehe 26 April, huyajui?Alafu hiyo sherehe ya Mapinduzi ya April 26 ni ipi hiyo?
Mapinduzi ya tarehe 26 April, huyajui?,wewe naona bado unayakumbuka yale yaJanuary 12 1964
Unafahamu ya kutoa taarifa na takwimu za kweli juu ya maambukizi mapya? Nchi yako inategemea msaada mkubwa kimatibabu kutoka W.H.O pamoja na taasisi za kifedha za kimataifa.Kweli kabisa mbaya zaidi hata waliopona wanajumulishwa inazidi kutia hofu watu tu.
Kuna Mtu aliwahi kutamka kuwa "atakayebaki Dar kweli yeye ni kidume" naona yeye ndio kapotelea kijijini Kabisa! Sasa sijui tusemeje!
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema agizo la kufungwa kwa shule za awali, msingi, sekondari na vyuo vya elimu ya kati na elimu ya juu litaendelea kubaki vile vile hadi Serikali itakaposema vinginevyo
Pia, amesema Rais Magufuli amesitisha maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi zilizokuwa zifanyike Aprili 26, pamoja na Sikukuu za Wafanyakazi za Mei Mosi ili kuepuka msongamano na kuzuia kusambaa kwa #COVID19
Aidha, Waziri Mkuu amesema hadi kufikia leo jumla ya Watu 53 wamebainika kuwa na virusi vya Corona ikiwa ni ongezeko la Wagonjwa wanne ambao wote wapo Jijini Dar
Amesisitiza kuwa Serikali bado haijatangaza kuhusu kufunguliwa kwa Shule, Vyuo na shunguli za michezo pamoja na misongamano isiyokuwa ya lazima hivyo maeneo hayo yataendelea kusalia katika Karantini na Wanafunzi wote waendelee kubaki nyumbani

Hapa ndo tunapofeli
Sijui kwanini hakuna hizi takwimu za wanaopimwa Ni wangapi
Mpaka leo Uganda wamepima watu takribani 5600 na walio na maambukizi ni 54
Sisi tumepima wangapi mpaka leo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mabilioni ulipwa mashulen kila mwezi sasa mashule yamefungwa hayo mabilion ya mwezi 1yanaweza kupambana na corona
Kuna tatizo mahali,huyu pm atakuwa hayuko poa na mteuzi wake,ni kama magufuli anataka shule zifunguliwe ila vion GH ozi wengine hawataki,kuna jambo haliko sawa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili tatizo la kuchanganya herufi kwa kweli limekithiri na linaudhi kweli kweli unakuta mpaka taasisi za elimu nazo zinakosea kuandika jina la shule. Mfano kule Mwanza nilishuhudia kibao cha shule kimeandikwa shule ya msingi Kishili badala ya Kishiri unategemea wanafunzi wajifunze nini hapo.opondo,
Hata kama mtu ana uhitaji wa mwalimu hawezi kukupa ww, una matatizo ya herufi H, angalia hapo ulipoandika Hila, pia hapo ulipoandika Hiki badala ya Ili. Nyie ndio wale mkipewa mwanafunzi wa kike unaishia kumpa account ya facebook.
Imekuwa kawaida walimu na wahazili huamka kwenda ofisini na kurudi nyumbani nothing to do, mbona wasijiongeze kuwawezesha wanafunzi wao kipondi hili cha lockdown ya corona
Nani kathibitisha wanaugua na kupona kimya kimya hebu prove au ni story za viniweni tuNashauri serikali isitangaaze visa hivi vya Corona wanatia hofu tu wananchi, Kwani huu ugonjwa upo dar Arusha na Zenji pekee?
Jibu ni No upo kila mahali hadi vijijini ndani ndani huko mikoani. Ila wanaishi kwa amani wanaugua na kupona bila kujua. Sasa wanavyozidi kutanganza wananchi wakijaa hofu Si miili itashindwa kupambana na magonjwa ya mwili.
Hakuna kitu kibaya kama hofu. Kinachoua ni hofu. No need to worry no matter how life is pretty miserable to us..The One who gives Life,He's Alive n Loyalty to Us.
Hili nalo litapita haijalishi litatuumiza vipi