Serikali: Visa vya COVID-19 vyafikia 53. Vyuo na Shule kuendelea kufungwa hadi Serikali itakapotoa tamko jingine

Serikali: Visa vya COVID-19 vyafikia 53. Vyuo na Shule kuendelea kufungwa hadi Serikali itakapotoa tamko jingine

Mambo mengi Kama yapi?! Wanawaza Kodi, Ada, stress za kazin na biashara??

Ndo Mana nikasema sekondary na primary hawana effect kubwa kwasabababu wakirudi shule it is very easy to catch up kuliko chuo kikuu
Na elimu ya juu mfano nchi za wenzetu wanaendelea na online classes(na Wengine pia, ingawa sisi level ya chini haiwezekani)
So ushauri wangu ni kwa elimu ya juu
Kwani nimekata?

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Kuna utafiti unaonesha kwamba, kwa kila mtu anayepatikana na ugonjwa kwa kipimo, kuna wengine kati ya 5 au kumi hawajajulikana wako mtaani wanaambukiza watu.
Tafiti hazikaririwi ivyo we kilaza Sasa tukienda kwa mfumo huo SI nchi nzima ina corona mana kila mtu atakua na wake 10 na kumi wa memwisho watabaki na deni la kumi "usiweke elimu kalioni"

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema hadi Leo Nchini kuna Jumla ya Watu 53 waliobainika kuwa na Virusi vya Corona ikiwa ni Ongezeko la Wagonjwa Wanne (04)ambao Wote Wapo Jijini Dar es Salaam.
 
Dawa ya kupambana na Virusi vya Corona ni kwa kuharakisha LOCKDOWN ili kuzuia maambukizi zaidi na pia kupunguza msongamano wa wagonjwa kwenye hospitali zetu. Itasaidia pia kutibu waliopo bila pressure.

Hospitali zikizidiwa itakuwa hatari sana.
 
Mkuu acha masihara basi,unasahihisha unatuma WhatsApp, unatumaje na unasahihishaje kitu kilichotumwa kwa WhatsApp in terms of soft copy? Maana hapo inabidi uwe na printer na ,scanning machine ili ufanye hizo shughuli ulizozisema,njaa mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui nifanyaje nikueleweshe, nimeandika nikafuta nimeandika tena nikafuta ngoja nikueleweshe mzee wangu.

Kwanza inabidi uelewe sina njaa mkuu, chochote nikihitaji naweza kupata, ninazo notes zote naweza kukutumia bure kabisa, ninayo mitihani mingi sana softcopy pamoja na hardcopy naweza kukutumia bure kabisa.

Sasa hiko hivi, ilo wazo limekuja sababu kuna mwanafunzi yupo jirani na hapa nyumbani alikua ananitumia maswali kwa njia ya whatsap, then na mimi na solve hayo maswali napiga picha then namtumia kwa njia ya whatsap.

Then ili wasiwe loose wakati wa likizo wanajikusanya wanafanya group discusion then nawatumia mtihani kwa njia ya whatsap(Nimeshindwa kuweka hapa huo mtihani), wakishamaliza kufanya wanapiga picha then wananitumia baada ya hapo nawatumia marking scheme kujua swali gani wamepata au wamekosa.(Ni njia locally zaidi maana sina printer)

Ngoja niweke hivi mkuu jamiiforums ni kama familia najifunza vitu vingi sana humu, hata wewe naweza kukutumia mitihani bure kabisa kwa ajili ya mwanao, ila sasa unaweza nipa 500 au 1000 ya vocha Mimi kukuandalia marking scheme. Pia kama huna naweza kukutumia bure kabisa mitihani pamoja na marking scheme.
Boss uaminifu ni bora kuliko Mali.
 
Yuko wapi Bashite Leo na kauli yake kwa wana-Daressalaam kuwa wasilale kuogopa korona wachape kazi???
 
Safi chief sema swalehe yupo grade three hii haimuhusu [emoji38]

N asivopenda shule ni mwendo wa pes tu sa hvi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watasoma wakirudi shule tu kwani kuna shida gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
BF6B22A6-CE83-4FB8-8ACE-8430DA0DA480.jpeg
 
Si bora warudi tu shule
Tatizo wanafunzi wapo tu nyumbani wamebweteka hawajishugulishi na masomo, huu ni mda pekee ambapo mzazi anaweza chukua nafasi yake kumsimamia mtoto wake ki masomo.
I swear! hata kama mtoto alikua hajiwezi darasani huu mda kama akiutumia vizuri basi akirudi shule atakua ni mtu mwingine maana atakua amesoma vitu vingi sana.
 
Uwezekano wa kufunga shule J3 haupo, napendekeza mfuko wa kupambana na Covid19 uvisaidie vyuo na mashule viwezeshi vya kuandaa magunzo kwa njia ya mtandao.

Imekuwa kawaida walimu na wahazili huamka kwenda ofisini na kurudi nyumbani nothing to do, mbona wasijiongeze kuwawezesha wanafunzi wao kipondi hili cha lockdown ya corona.
Kufunga au kufungua boss?
 
Back
Top Bottom