Serikali: Visa vya COVID-19 vyafikia 53. Vyuo na Shule kuendelea kufungwa hadi Serikali itakapotoa tamko jingine

Serikali: Visa vya COVID-19 vyafikia 53. Vyuo na Shule kuendelea kufungwa hadi Serikali itakapotoa tamko jingine

Dah nahisi nitarudi Chuo nikiwa na miaka 50!..

Oy wakuu niko mwanza kama una mtoto wako naweza mfundisha masomo haya physics and mathematics. Hila pia biology and chemistry, pia natunga mtihani wa somo lolote na kukutumia whatsap pamoja na marking scheme (hiki uweze kum guide mtoto wako)lengo nipate hela ya vocha tu huku mwanao akiendelea kuelimika..ukihitaji namba nifate PM.
Safi sana mkuu umejiongeza.

Njaa imekua kali mtaani wabeba zege na wachuuzi wao wamejiongeza kwa kupiga roba balaa,

yani sasa hivi watu wamepoteza vibarua vyao wanapiga roba kuanzia saa kumi na moja jioni mapema kabisa.
 
Mkuu acha masihara basi, unasahihisha unatuma WhatsApp, unatumaje na unasahihishaje kitu kilichotumwa kwa WhatsApp in terms of soft copy? Maana hapo inabidi uwe na printer na ,scanning machine ili ufanye hizo shughuli ulizozisema,njaa mbaya sana
Wapo ambao nafika kwao majirani wanaonizunguka hapa, walioko mbali na walio serious natunga mtihani nawatumia whatsap then wakishamaliza wananirudishia kwa whatsap nawasahisha then nawatumia whatsap pamoja na marking scheme hili waone walipokosea ni wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mitihani ya taifa itakuaje?!
Au wataendelea kusubiria wenzao
Nimependelea hivyo kwasababu shule nyingi za vijijini zinawalimu wachache kwahiyo siku shule zikifunguliwa sidhani kama shule za vijijini zitaweza kukimbizana namuda kuelekea kipindi chamitihani tofauti na shule zamjini zenye walimu wakutosha.

Navilevile asilimia kubwa ya wanafunzi wakijijini wanafata shule umbali mrefu kwahiyo uwezekano wakuwapangia vipindi viwili vyamasomo yaani asubuhi nakurudia jioni ili kufidishia hiki kipindi ambacho hawasomi inakuwa sio virahisi tofauti na shule zamjini karibia kila kata kuna shule so uwezekano wakuja kufidishia hiki kipindi nimkubwa kwasababu shule zipo karibu so uwezekano wakuwapangia wanafunzi vipindi vyamasomo kwasiku viwili nimkubwa tofauti navijijini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Da'Vinci,
Naungana na wewe kuhusu hofu. Hofu ni kitu kibaya sana. Hofu inaweza kukufanya ukajisikia mgonjwa kabisa na dalili zote, na baadae ukijizatiti kuishinda na kuomba unashangaa unakuwa mzima tena bila kutumia dawa, unajiuliza hivi nilikuwa naumwa nini, kumbe ni hofu.

Ila siungani na wewe kuwa wasitangaze. Ni uhimu wakatangaza tu ili watu wajue kuwa upo na wajikinge. Ila Above all, the one who created us, knows our final destiny. GOD is above all.
 
Ingekuwaje Kama Mchina nae angekuwa na wazo Kama lako?ukisema eti tunapata hofu no Kama vile unamaanisha hausababishi vifo.Wanadamu tuna tabia ya kusahau lazima tuambiwe tena na tena ili tujikinge

Hiyo hofu unayosema umeshaona mabadiliko yoyote ya watu kuchukua tahadhari?masoko makanisa na misikiti imejaa Kama kawaida bila tahadhari yoyote.Mkazo upo tu kwenye kunawa mikono as if huu ni kipindu pindu.
Lazima uma ukumbushe kwa kauli mbiu na hofu ili kufuata maelekezo yote ya kujikinga
 
Ingekuwaje Kama Mchina nae angekuwa na wazo Kama lako? ukisema eti tunapata hofu no Kama vile unamaanisha hausababishi vifo.Wanadamu tuna tabia ya kusahau lazima tuambiwe tena na tena ili tujikinge

Hiyo hofu unayosema umeshaona mabadiliko yoyote ya watu kuchukua tahadhari?masoko makanisa na misikiti imejaa Kama kawaida bila tahadhari yoyote.Mkazo upo tu kwenye kunawa mikono as if huu ni kipindu pindu. Lazima uma ukumbushe kwa kauli mbiu na hofu ili kufuata maelekezo yote ya kujikinga
 
Tanzania maeneo mengi intanet shida tupu... usije kuwa unakaa ukahisi tanzania yote ipo hivo.

Hicho unachokiwaza kipo impractical sana.
Uwezekano wa kufunga shule J3 haupo, napendekeza mfuko wa kupambana na Covid19 uvisaidie vyuo na mashule viwezeshi vya kuandaa magunzo kwa njia ya mtandao. Imekuwa kawaida walimu na wahazili huamka kwenda ofisini na kurudi nyumbani nothing to do, mbona wasijiongeze kuwawezesha wanafunzi wao kipondi hili cha lockdown ya corona.
 
Ingekuwaje Kama Mchina nae angekuwa na wazo Kama lako?ukisema eti tunapata hofu no Kama vile unamaanisha hausababishi vifo. Wanadamu tuna tabia ya kusahau lazima tuambiwe tena na tena ili tujikinge

Hiyo hofu unayosema umeshaona mabadiliko yoyote ya watu kuchukua tahadhari?masoko makanisa na misikiti imejaa Kama kawaida bila tahadhari yoyote.Mkazo upo tu kwenye kunawa mikono as if huu ni kipindu pindu. Lazima uma ukumbushwe kwa kauli mbiu na hofu ili kufuata maelekezo yote ya kujikinga
 
Nikikupa jina la wilaya uta verify na kuja humu kuthibitisha kuwa ni kweli?

Nina mtandao mpana wa kuweza kujua hilo. Nitakwenda kwa mkuu wangu wa elimu wa wilaya na kumweleza mbinu wanayotumia wilaya utakayoitaja, yeye atamdhibitishia usemacho, kisha nitakiri hapa jukwaani, japo sio kwenye uzi huu, bali wa jukwaa la elimu na nitakutag.
 
Hawa watu sidhani wanajua madhara ya hii virus haina mbunge waziri ni ya wote
Hawapo serious au uelewa mdogo sana au both
Lockdown ni muhimu kuliko matamko yao kila kukicha
Wanakera
Kuna habari mtaani: Kigamboni kiwanda cha TIPER wafanyakazi wengi wamewekwa karantini baada ya bosi wao kupata virus. Pia leo maeneo ya Boko na Bunju wamechukuliwa watu watatu na ambulance. Ingawa hakuna uhakika lakini dalili zote watu wamesema ni za hawa virus.
 
Mkuu rais kesha sema no lockdown, kama unaipenda unaonaje ukijiweka lockdown wewe na family yako,unadhani kwa rais yeye anashindwa nini kutangaza lockdown, wakati yeye anao uwezo wa kutamka dheni anajifungia hata six months bila kutoka huku akila na kunywa? Shida ni wananchi wa kipato cha chini ambao ni wengi kuliko wenye vipato vya juu,

Kwanini mtu anganganie lockdown wakati serikali haijazuia mtu binafsi kujilock,mbona unalazimisha nchi mzima? Wewe zama peke yako hata mwaka kawa watu wote watakufa wewe itakuwa na bahati ya kulithi kila kitu
Hawa watu sidhani wanajua madhara ya hii virus haina mbunge waziri ni ya wote
Hawapo serious au uelewa mdogo sana au both
Lockdown ni muhimu kuliko matamko yao kila kukicha
Wanakera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom