Serikali: Vita na demokrasia tayari Demokrasia imeshinda kwa Watanzania. Kuteka watu , kutisha, kufungia vyombo na kutumia mahakama na Bunge vyote vimeshindikana.
Kutumia pesa nako sasa kunashindikana. Kutumia Polisi na vyombo vya usalama sasa inashindikana.
Ikulu imezungukwa na watu waongo wakati Watanzania wenyewe wakiendelea kutaka demokrasia na haki kuliko wakati wowote ule.