Serikali vituo vya mwendokasi mnavyovirekebisha, tutavirekebisha tarehe 7/7

Serikali vituo vya mwendokasi mnavyovirekebisha, tutavirekebisha tarehe 7/7

Hakutakuwa na maandanano wala curfew safari hii hawataua hadharani.
 
Chadema akili zenu mbovu sana, vitu wanavyotumia wananchi wa chini kabisa ndo mnataka kuharibu haya hapo utakuwa umemkomoaje suluhu, nchemba au Nchimbi wakati hayo Mabasi viongozi hawapandimo?
 
Kwa akili hizi finyu mtashindwaje kuua watoto wenu na kusingizia polisi?
 
Sasa unategemea nn? Mtu yupo kwa dadake sebleni kweli ataweka chochote cha maana?
 
Hakutakuwa na maandanano wala curfew safari hii hawataua hadharani.
Mlikuwa mnasema hivyo hivyo 29.10.2026.

Tatizo CCM na serikali mnatumia tumbo na Makario kufikiri.

Stay tuned
 
Kwa wale ambao mtakua na mashaka juu ya tarhe 7 julai napenda niwatoe hofu kwamba hakutokua na nywi nywi wala nywi nywi nywi.
Watu ni wale wale,,, khoo khoo !!! naomba maji
 
Back
Top Bottom