Maelezo kuhusu hiyo elfu5 pungufu yakoje?
Naona kabisa kuna mtu ameshapoteza kibarua pale TAMISEMI 😎
Siku zote kiongozi (chama) kilichozoe kufanya siasa za hadaa, ni ngumu kuziacha!!Mbona siku inatangazwa ilisemwa ni 13,000??
Wameona wameshashitukiwa jina moja lina appear mala196!!! Ili kuongeza idadi!! Hakuna wakufukuzwa kazi kwani ni maelekezo sio kuwa ni tamko lake!! Mkisema sana watatangaza nafasi za kazi hizo 5000!!kishaaa kimya!! Watakwambia majina yapo kwenye data base walishaitwa kuripoti kazini.Maelezo kuhusu hiyo elfu5 pungufu yakoje?
Naona kabisa kuna mtu ameshapoteza kibarua pale TAMISEMI 😎
Hizo 5,000 zinapelekwa wapi?
Bwana Shonde a k a Shonde boy,ameula maana kaajiriwa mara 196.Baada ya wadau kulalamika idadi ya walioajiriwa kuwa siyo iliyotangazwa na serikali ikiwemo baadhi ya majina kujirudia mara nyingi, leo serikali imesema walioajiriwa ni 8,000 pekee. Idadi hii mpya iliyotangazwa ni pungufu ya watu 5,000 ya idadi iliyotajwa awali.
PIA, SOMA=> Madudu yaliyofanyika kwenye ajira za Ualimu zilizotangazwa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE S3630-0099/2013' lajirudia mara 196
Aa wapi, hiyo ilikuwa Ni agizo toka juu.Maelezo kuhusu hiyo elfu5 pungufu yakoje?
Naona kabisa kuna mtu ameshapoteza kibarua pale TAMISEMI [emoji41]
Nashauri apewe mishahara times 196Bwana Shonde a k a Shonde boy,ameula maana kaajiriwa mara 196.
Kweli kabisa maana hii ni bahati toka kwa Mungu, Shondeboy apewe haki yakeNashauri apewe mishahara times 196
Hao wana nini zaidi ya usanii tupuMajina yote yapitiwe upya na TISS na Takukuru .kabla hawajaripoti vituo husika. Tamisemi wamefanya madudu kwenye hizi ajira
Mimi niko tofauti Sana, na izo ajira, mfano iyo idadi kila mmoja angepewa m 5 na kila mmoja azirudishe ndani ya miaka mitano bila riba, ndani ya miaka mitano wangefanya mahajabu,ajira ni utumwa wa fukra, wawezeshe watu wapambane na fulsa mbali mbali.Baada ya wadau kulalamika idadi ya walioajiriwa kuwa siyo iliyotangazwa na serikali ikiwemo baadhi ya majina kujirudia mara nyingi, leo serikali imesema walioajiriwa ni 8,000 pekee. Idadi hii mpya iliyotangazwa ni pungufu ya watu 5,000 ya idadi iliyotajwa awali.
PIA, SOMA=> Madudu yaliyofanyika kwenye ajira za Ualimu zilizotangazwa. Jina la 'ABADALLAH LEONARD SHONDE S3630-0099/2013' lajirudia mara 196
Huwez kuwalaumu Tamisemi wakati maelekezo yote yametoka juu , sema wananchi mmelivalia njuga maagizo yakatoka juu tena kuwaweka Sawa na awamu ya pili fake ..... Kimsingi kila sintofahamu iliyopo kwenye hzo ajira ina baraka zote , na walioajiliwa hawazidi 3000 hata hao 8000 kuna majina hewa zaidi ya buku dansi.....hata hvyo hali ikiwa mbaya kuna mmoja au wawili wanaweza tolewa kafara na badae wakaajiriwa tena kimya kimya hata BOT huko au wizara/Ofisi nyingine..Maelezo kuhusu hiyo elfu5 pungufu yakoje?
Naona kabisa kuna mtu ameshapoteza kibarua pale TAMISEMI 😎