Hapa tusiwatetee upinzani. Hata upinzani, mfano CHADEMA, hawajawahi kutangaza openly and forthrightly kwamba hawataki Muungano. Na kwa Zanzibar, wa kina Muhamed Rashid wa CUF nao sijawasikia kutangaza hawataki Muungano. Wanafaidika nao binafsi.... tena ni wa CCM kwa maslahi yao kwani ndio wanaofaidi.
Hata kama muswada ni wa kihuni kwani hawezi kutumia njia za kistraabu, wanapokataa maandamano ya Chadema wakati wao wanafanya vituko vya aibu hata mimi ningemuita mhuni, Imam mzima tena kiongozi wa waislam anafanya hivyo je anaowaongoza.Samia, kikwete, na mafisadi wenzao wote ndio wahuni. Haki ni haki bila kujali ni nani anaitetea. Imam alikuwa sahihi kuuchana muswada kwa sababu ni wa kihuni na waliouandaa wote ni wahuni tu.
Acha issue za udini... we aje bana? Anyway babaake mkristo mamaake muislam
Huyu mama dini gani kwani?
asilimia 4.5 kwa zanzibar ni kubwa sana ukizingatia uwiano wa idadi ya watu. kama watu 1m wanapata 4.5% na watu 43m wa nchi ileile wanabaki na 95.5% tu, kwa kweli hiyo si haki kabisa
halafu hilo la kudhaminiwa na serikali ya muungano, maana yake nchi ya zanzibar ikikataa kulipa, itailazimu nchi ta tamzania (bara) kubeba mzigo huo! hapa nahisi matope yalichukua nafasi ya ubongo ndani ya vichwa vilivyofikia uamuzi huu. kwa kweli maamuzi kama haya ndiyo yataharakisha kuvunjika kwa muungano huu
mwisho sio sawa kwa waziri kuwaita wote wasiokubaliana na mawazo yake, ya chamachake na ya serikali yake kuwa ni wahuni. hapo anapaswa kuomba radhi kwa wazanzibari wenzake.
huyu mama kama sikosei alichaguliwa kuwemo kwenye CC mpya ya ccm, kwa msingi huu, naamini ccm haijajivua gamba bado
hawana shukrani kabisa hawa, ni sawa na kumsaidia mtu kisha anakutukana. huu muungano ni product ya cold war, una manufaa kwa wazanzibari kuliko watanganiyika. muungano wa hovyo kuliko yo yote iliyopo duniani.
Angesema hayo mwingine tungesikia 'matamko' toka kila kona. Lakini kwa sababu ni 'mwenzetu' kuko kimyaaa! Atueleze 'hao wahuni' ni raia wa wapi.
Nchi inaomba kudhaminiwa? ha ha ha
Muhuni ni yeye huyu samia suluhu hassan,analewa,anafanyiwa viLE VILE,muangalieni muslamu gani anatembea kichwa wazi,kwa uwislamu tunakuita wewe muhuni,,,kudadadekiiii
Tuombe radhi tafadhali zako,hapa huru sheik wetu tumeunga nae pia muhuni ? Viongozi wetu pia wahuni ? WEWE Takecare ohooo
Akija zenji ndo anajidai kujifanya kujistiri akija bongo kumbee ndo hivyoo mara unamuona kwa macheniiiView attachment 27236
Huo ni ukweli usiopingika. Kwa nini bara ing'ang'anie kuwabeba watu hao wasiothamini fadhila wanazozipata kutoka bara? Muungano uvunjike tu kwa sasa ili wajitegemee na wapate kuonja joto la jiwe kutokana na ubaguzi wao ambao naamini utawatafuna wao kwa wao.
Hamad Rashid acha ubaguzi
Nyerere united Tanganyika with impurities(islies),leo mmekuja na udini uku bara mnatuchefua jamani nyie CUF.
Duh na vile vita vya makabila ni kofi la mahaba?Sie bara hatuna neno Adui,nyie ndo mna Upemba na U-unguja,karibu kwetu kiwanja utapata mkuu,mke utapata n.k hatubaguani na hatutabaguana kamwe.Nchi nyingi zinawaza unification wewe unawaza separation.
nyie wenzetu wasunni hamuijui uislamu na mnataka kudandia dandia tu treni. Kwani kuvaa kibarakashee ndoo uislamu!! Au kuvaa kanzu ndio tija. Kanzu sio vazi la kiislamu ni vazi tu la waarabu ambao kuna wakristo na wasio kuwa na dini. Ndio maana wengine wanadhani kuvaa hijabu ni vazi rasmi ambayo dini yetu imetoa ktk koruani. Na wako tayali kupigana sabab ya hilo. Huo ni upotoshaji jamani. Kasome tena ndugu yangu
masalaama
Hata kama muswada ni wa kihuni kwani hawezi kutumia njia za kistraabu, wanapokataa maandamano ya Chadema wakati wao wanafanya vituko vya aibu hata mimi ningemuita mhuni, Imam mzima tena kiongozi wa waislam anafanya hivyo je anaowaongoza.
Kwani wana nchi wale udhamini imekuwa timu ya mpira.Nchi inaomba kudhaminiwa? ha ha ha