Serikali wapeni motisha walimu wa shule zilizopata daraja 1 na la 2.

Serikali wapeni motisha walimu wa shule zilizopata daraja 1 na la 2.

augustino ameri

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Posts
267
Reaction score
57
Kwa wastani matokeo sio mazur nchi nzima,lakini kwa nini sasa walimu walio pata madaraja ya 1 na2 wasipate promotion.kwani kuna baadh ya wilaya hakuna daraja 1 kabisa.Tumezoea kuona baadh ya taasisi zikipewa zawad ya kuongezewa mishahara au vyeo kama motisha na serikali.Nashauri serikali kuwa motisha hii italeta ushindani kwa walimu shuleni.
 
Back
Top Bottom