augustino ameri
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 267
- 57
Kwa wastani matokeo sio mazur nchi nzima,lakini kwa nini sasa walimu walio pata madaraja ya 1 na2 wasipate promotion.kwani kuna baadh ya wilaya hakuna daraja 1 kabisa.Tumezoea kuona baadh ya taasisi zikipewa zawad ya kuongezewa mishahara au vyeo kama motisha na serikali.Nashauri serikali kuwa motisha hii italeta ushindani kwa walimu shuleni.