Unajua siku hizi unapimwa kimya kimya kwa ambao hawapimi wanarekodi kila hospital
Mkuu, ukienda hospitali hata kupima malaria, pale maabara wanachukua sampuli yako ya damu wanakupima malaria na UKIMWI bila ya wewe kujua. Kisha watakupa majibu yako ya malaria tu na hizo taarifa za kuathirika wanazihifadhi kwaajili ya masuala ya takwimu kama hii taarifa ya watu 200k wasiojijua afya zao.
Mkuu, ukienda hospitali hata kupima malaria, pale maabara wanachukua sampuli yako ya damu wanakupima malaria na UKIMWI bila ya wewe kujua. Kisha watakupa majibu yako ya malaria tu na hizo taarifa za kuathirika wanazihifadhi kwaajili ya masuala ya takwimu kama hii taarifa ya watu 200k wasiojijua afya zao.
unashangaa kwa vile huelew.we umafikr ukitoaga damu tunaitupa tu? we njoo tutakupima kilichokuleta vingine tunaweka record zetu sawaHiyo namba wameitoa wapi kama watu wenyewe hata hawajui hali zao za kiafya?
Anyway, tuheshimu taaluma za watu.
mbona kuna ubao kabisa wa Mof unao statistic kabisa za kila mwez upo waz hosptl wanajaza mwez huu walio na maambuskiz wamgap neg ngap postv ngap.ukifika reception unauonaMatumizi mabaya ya resources ukiwaza huo mfumo, hauna maana.
Unampima mtu, unapata majibu unamwacha anaenda nyumbani. Kesho unaajili watu kwenda kumsaka/ kuwasaka???
1: Hiyo keshokutwa unamkuta ameambukiza wangapi? au
2: Kajipima vitu vingine kutafuta anaumwa nini mara ngapi? Resources?
3: Kaongeza msongamano kwenye vituo vya afya mara ngapi?
4: Wangapi wamekufa baada ya kuwapima kwa mtindo huo?
Umetumia muda wa mtu wa laboratory unaongeza kazi, unatumia vitendanishi na unatumia vitabu vya data. Unasaidikaje kama taifa?? Vifaa vyenyewe hata kuvinunua ni shida??
Si bora ungetunza mawasiliano yao?? Na huyo mtu akikushitaki kwa kumpima bila consent yake??
It's too theoretical, niambie kituo chenye data za waliopima na kwenda nyumbani kimyakimya kwa siku za hivi leo. Wakati kila anaegundulika ana HIV anatakiwa kuanza dawa.
Unaweka rekodi?unashangaa kwa vile huelew.we umafikr ukitoaga damu tunaitupa tu? we njoo tutakupima kilichokuleta vingine tunaweka record zetu sawa
mbona kuna ubao kabisa wa Mof unao statistic kabisa za kila mwez upo waz hosptl wanajaza mwez huu walio na maambuskiz wamgap neg ngap postv ngap.ukifika reception unauona
Hii mbona ni rahisi sana.Hiyo namba wameitoa wapi kama watu wenyewe hata hawajui hali zao za kiafya?
Anyway, tuheshimu taaluma za watu.
Hii mbona ni rahisi sana.
Inawezekana kupitia Watu wanofika Hospitali kwa matatizo mengine na inagundulika wana maambukizi lakini kunakuwa hakuna maingira ya kuwaambia kwa wakati huo.
Pia hata wachangia damu huwa tunawaambia 'hatupimi HIV' hii haimaanishi kuwa damu yao itaenda kutumika hivyo hivyo...Mtu atatoa damu, atapewa shukurani zake, damu itapimwa ikikutwa na maambukizi haitotumika tena na Mtoaji hana taarifa ingawa Hospitali watabaki na takwimu.
Kwanza kama yupo kwenye Mpango wa Dawa ni dhahiri kuwa huyu ni Mtu anayeonesha ushirikiano hivyo sio rahisi ajitokeze tena kwenye zoezi la kuchangia damu.Hizo ndo wrong data.
Utajuaje kama huyo mtu hayuko kwenye dawa au hayuko kwenye kliniki sehemu nyingine??
Hayo ni mambo ya kufikirika tu ambayo hatuwezi kuyaweka kwenye utendaji.
Na unasema umekusanya data.
Kweli unataka data za watu unaowahudumia lakini huna muda wa kuongea nao kuwaeleza hali zao. Unakusanya data unatokomea, kesho unaenda kuwatafuta nawe ni mtoa huduma au mtafiti??
Unapanga uende nyumba kwa nyumba kutafuta huyo mtu??
Kuna kitu kitakuwa hakipo sawa kwenye mfumo wetu basi. Hatujui tunahitaji nini ili jamii yetu iwe na afya njema.
Kwanza kama yupo kwenye Mpango wa Dawa ni dhahiri kuwa huyu ni Mtu anayeonesha ushirikiano hivyo sio rahisi ajitokeze tena kwenye zoezi la kuchangia damu.
Na hata kama alifika Hospitali kwa tatizo lingine huyu ni rahisi kujitambulisha mapema kwa hali yake.
Pia kama yupo kwenye mfumo wa dawa ni wazi kuwa yupo kwenye Kanzi data hivyo si rahisi kurekodiwa mara mbili.
Na hata hivyo takwimu kama hizi ni makadirio cha msingi ni kuwa idadi inakaribia au kuzidi kidogo hapo.