KERO Serikali wekeni mwongozo kwa Wamiliki wa Majengo na Nyumba. Wanapandisha kodi kwa asilimia kubwa kila wakijisikia

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Nyerere alianzisha National Housing Corporation,Tanzania Housing Bank kwa malengo ya kutatua tatizo la makazi lakini hadi leo mambo yameshindikana ndio sasa tupo man eat man society. Kashindwa serikali kujenga au kuwezesha nyumba nafuu itakuwa mtu baki?
 
Nyerere hapo alijitahhidi sana
Hawa wengine waliyofata nao walitakiwa kuja na mradi kama huo,mradi huo ungekuwepo hata nyumba bei zingekuwa nafuu
Maana competition ingekuwepo

Ova
 
Je, mtoa mada atataka turejee kwenye sera za ujamaa. Kama ni hivyo atakuwa na hoja. Nitamuunga mkono, vinginevyo enzi za serikali kupanga bei zimepitwa na wakati. Chukua mfano wa bei ya petrol, diesel na mafuta ya taa zinavyoruka kila kukicha.
 
Serikali nao wajenge majumba wao waweke bei nzuri kuwaok9a raia wake

Ova
 
Pesa haina huruma na Mtu aliyepo Duniani.

Haya mambo ni mapama sana.Wengi wameishia na majeraha hii yote katika kuliwa na kulaja(To survive).

Mwenye Nyumba kajenga Pango lake kwa namna yake anayojua.

Mwenye Biashara anatafuta kwa namna yake.

Ukihitaji huruma Duniani basi jua Dunia imekushinda tayari.

Tufundishe Watoto kuwa Dunia sio nyepesi,ndio Maana Mwenye aliiumba haonekani na hataki mambo mengi.
Mwenye aliumba Dunia alikuwa na Bwana Shetani kule juu..akamtumpia huku sisi tupate kuteseka naye Jiulize.

Weye hapa Dunia unataka maisha marahisi.

Kwenye tunaripoti uonevu ndiko wenye frames zote huju mjini na connections.

Shirika la Nyumba tu mpaka sasa hakijawahi fanikiwa kujenga Nyumba za watu Maskini.

Watu pekee wanajenga na kuhifadhi maskini na watu wanaoamka kimaisha ni Hao wenye frames na Nyumba za Kupanga.

Mambo ni mengi muda mchache,kutqfuta hela za kutosha na kupambana na mifumo ya Dunia zaidi kiuchumi na kiafya.
 
Je, mtoa mada atataka turejee kwenye sera za ujamaa. Kama ni hivyo atakuwa na hoja. Nitamuunga mkono, vinginevyo enzi za serikali kupanga bei zimepitwa na wakati. Chukua mfano wa bei ya petrol, diesel na mafuta ya taa zinavyoruka kila kukicha.
Venye Africa huona Wanawaongoza ni tofauti sana.

Huku watu wanajua nafsi zao na mioyo yao sio wewe.
 
Swala la Kodi linapelekea Mfumko wa Bei......yaani haiko kihalisia kabisa.

Hata kama mtu mali yake hapangiwi lakini nadhani Tamaa imetangulia mbele
 
Tufundishe Watoto kuwa Dunia sio nyepesi,ndio Maana Mwenye aliiumba haonekani na hataki mambo mengi.
Mwenye aliumba Dunia alikuwa na Bwana Shetani kule juu..akamtumpia huku sisi tupate kuteseka naye Jiulize.
Kwenye hili nakubaliana na wewe.

Matesi yoote haya Chanzo ni Muumba mwenyewe.....mengine hapa tutalaumiana tu.
 
Ukiona hivyo ujue wakati wewe unauza kuna mwingine anamfata mwenye nyumba wako kuuliza mkataba wako unaisha lini ili apangishe yeye kwa dau nono.
Hii ilinitokea mimi tena dalali yuleyule aliyenipangisha eneo lile kaenda na mteja mwingine🤨
 
HII COMMENT BORA KABISA
COMMENT YA KIBABE

ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…