KERO Serikali wekeni mwongozo kwa Wamiliki wa Majengo na Nyumba. Wanapandisha kodi kwa asilimia kubwa kila wakijisikia

KERO Serikali wekeni mwongozo kwa Wamiliki wa Majengo na Nyumba. Wanapandisha kodi kwa asilimia kubwa kila wakijisikia

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Serikali wao ndiyo walitakiwa kuja na kufanya housing projects kwa ajili ya makazi ya wananchi ili kuwasaidia angalau kodi ziwe nafuu,lakini hao hao unaowalilia
Wakijagq na vimradi vyao bei zao sasa,mfano pale moroco
Mleta uzi ili uondokane na kaadhia hii we jenga tu kibanda chako

Ova
Nyerere alianzisha National Housing Corporation,Tanzania Housing Bank kwa malengo ya kutatua tatizo la makazi lakini hadi leo mambo yameshindikana ndio sasa tupo man eat man society. Kashindwa serikali kujenga au kuwezesha nyumba nafuu itakuwa mtu baki?
 
Nyerere hapo alijitahhidi sana
Hawa wengine waliyofata nao walitakiwa kuja na mradi kama huo,mradi huo ungekuwepo hata nyumba bei zingekuwa nafuu
Maana competition ingekuwepo

Ova
 
Nyerere alianzisha National Housing Corporation,Tanzania Housing Bank kwa malengo ya kutatua tatizo la makazi lakini hadi leo mambo yameshindikana ndio sasa tupo man eat man society. Kashindwa serikali kujenga au kuwezesha nyumba nafuu itakuwa mtu baki?
Je, mtoa mada atataka turejee kwenye sera za ujamaa. Kama ni hivyo atakuwa na hoja. Nitamuunga mkono, vinginevyo enzi za serikali kupanga bei zimepitwa na wakati. Chukua mfano wa bei ya petrol, diesel na mafuta ya taa zinavyoruka kila kukicha.
 
Serikali nao wajenge majumba wao waweke bei nzuri kuwaok9a raia wake

Ova
 
Bro ulichoandika Ni sahihi na Wala Hakuna ninayemshabikia Ila kumponda.
Let us talk the truth/heart and never sugar-coat sh💩.
Bro wewe Ni mfanyabiashara nadhani sio kila bidhaa yako iko regulated na bei gani utauza na unachojali Ni faida na zaidi kabisa superprofit.

Mfano ukiwa unauza hata ule uwanja wako let say 30M na akatokea mtu akawa anakupa 25M na mwingine akatokea ghafula huku ndio mnaandikiana mktaba Ila hujapokea hela ama dalali akakupigia simu kuwa Kuna jamaa Anazo 50M.
Waza hapa utafanyeje let us be transparent please ,am sure utaachana na huyu jamaa haraka unaweza singizia kuwa Kuna dharura umepata ili tu uipokee iyo hela.

Njoo Sasa bado dalali akakuunganisha na ukamtoa 5M na bado ukaja kugundua kuwa tajiri alitoa 120M dalali alikula 70M yaani mpaka mwenye Mali. Hapa naomba uwe mkweli utajisikiaje na yule uliyemuacha wa 25M atajisikiaje.

Nakuja kwenye mawazo yangu ama who am I na sio mwingine yeyote yule Mana kila binadamu duniani kila mtu anatofautiana na mwingine hata kimuonekano yaani kwa kila kitu.

Whom am I ni ivi naomba uwaze kuwa hii Ni dunia ya 🐕 eats another 🐕 na Hakuna huruma Wala msalie mtume.
Yaani binadamu tunakulana Kama wanyama wanavyokulana ,huwa namuona mwewe anawazungukia vifaranga hapa home kuku akishatotoa.

Sasa unapozidiwa ama unapoliwa usilalamike don't blame the opponent Bali blame the game.
Yaani life in short is the game of survive and prosper/thrive na watu Wana play this game so called life using skills, strategy,others use luck and chance.

Yaani angalia watu wa dini wanavyowala watu dhaifu aka masikini.
Yaani wale watawa wa rc wao Wana magari yao kabisa ,padri anataka kununuliwa gari la 100M na waumini ambao wanakula ili siku ziende.
Yaani wanachangishana hela kuzidi kujimarisha hao rc ama religion institutions like mashule, hospital,maduka na viwanda.

Sasa changisheni mjenge shule mpeleke mwanao akose Ada ndio utajua ule upendo/love emotion ambao ndio weapon wanayoitumia pale madhabahuni kuwala watu Kama utauona kwao.

Njoo wanasiasa wanapambana wakae juu ili watule na Wala sio kwia wanakuja kukusaidia wewe. Check imepeNdekezwa kila line ikatwe 2000 ili bima kwa wote wakati huo dp world mktaba ulikuwa Ni milele na wasemehewe Kodi milele.
So unamkula mnyonge tu ama dhaifu

Waza kuwa cheetah hajisumbui kukimbiza mnyamaa wa kula anasubiria hata wiki nzima anasubiria baby antelope na sio baby tu Bali lame baby antelope.

Jamaa wamejiongezea salary na wakimaliza kipindi Chao wanapewa hela yao Hakuna kusubiria muda fulani ndio achukue mafao Ila wewe wanakupenda wanakuambia subiria 60yrs ifike ndio upewe hizo hela na utapewa kidogokidogo Mana wanakupenda.

So nadhani hii dunia inabidi tuwe na hiyo mindset tutasonga mbele.
Labda hapo ulipo jamaa wenye wanapataka so unapandishiwa hutaki Hama.
Mana viwanja na materials mpaka ufundi uko juu na gharama za maisha zimependa, umeona wenye magari wameoandisha nauli kisa icho icho Ila salary ya watumishi iko palepale Hakuna gharama za maisha kupanda kwa wao.
Simba anaua mnyama anakula Ila fisi anakuja kumtoa hata chui huwa anakulaga fasta zile sehemu laini kabla hajatolewa ama walafi wamfukuze.

Let us accept wholeheartedly kuwa hapa duniani tupo katika jungle we're fighting everyday and those having even slightest edge like patience and discipline survive longer.
Am sure hakuna anayekuonea huruma like your mom.
Kuna watu wanapiga kazi viwandani wanalipwa 5000 kwa day na hao viongozi watetezi wapo tu can you imagine labda anapigwa fungu anatulia.
Let us come up with more strategic game plan to play chess game bro.
Am sorry najua hutofurahi Mana am against na your beliefs Mana watu mkishatofautiana tu beliefs Ni chuki na kununiana na ndio Mana Kuna watu inabidi ujifanye dini ama kabila yao ili tu ule mema na upewe mazuri yao.
Pesa haina huruma na Mtu aliyepo Duniani.

Haya mambo ni mapama sana.Wengi wameishia na majeraha hii yote katika kuliwa na kulaja(To survive).

Mwenye Nyumba kajenga Pango lake kwa namna yake anayojua.

Mwenye Biashara anatafuta kwa namna yake.

Ukihitaji huruma Duniani basi jua Dunia imekushinda tayari.

Tufundishe Watoto kuwa Dunia sio nyepesi,ndio Maana Mwenye aliiumba haonekani na hataki mambo mengi.
Mwenye aliumba Dunia alikuwa na Bwana Shetani kule juu..akamtumpia huku sisi tupate kuteseka naye Jiulize.

Weye hapa Dunia unataka maisha marahisi.

Kwenye tunaripoti uonevu ndiko wenye frames zote huju mjini na connections.

Shirika la Nyumba tu mpaka sasa hakijawahi fanikiwa kujenga Nyumba za watu Maskini.

Watu pekee wanajenga na kuhifadhi maskini na watu wanaoamka kimaisha ni Hao wenye frames na Nyumba za Kupanga.

Mambo ni mengi muda mchache,kutqfuta hela za kutosha na kupambana na mifumo ya Dunia zaidi kiuchumi na kiafya.
 
Je, mtoa mada atataka turejee kwenye sera za ujamaa. Kama ni hivyo atakuwa na hoja. Nitamuunga mkono, vinginevyo enzi za serikali kupanga bei zimepitwa na wakati. Chukua mfano wa bei ya petrol, diesel na mafuta ya taa zinavyoruka kila kukicha.
Venye Africa huona Wanawaongoza ni tofauti sana.

Huku watu wanajua nafsi zao na mioyo yao sio wewe.
 
Habari wana Jamvi,

Leo nimekuja kuwasilisha kero yangu moja kubwa sana kuhusu hawa watu wanaotupangishia Nyumba au Frame za biashara. Naelewa ni zao na wana haki ila kitendo cha Mmiliki kuamua kupandisha kodi kila baada ya muda mfupi kwa kiwango anachojisikia sio sawa.

Je, Mamlaka husika au Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuna mwongozo au sheria yoyote ya kumlinda Mpangaji dhidi ya Mpangishaji kuhusu masuala mbalimbali likiwemo hili la kupandishiwa kodi? Wananchi tunaumia maana haiwezekani mtu unapandishiwa kodi kiholela kwa 120% ndani ya miaka miwili

Wafanyabiashara katika eneo Sinza Mori - Dar, Frame zinazotazamana na Kituo cha Mafuta cha Big Born wamepandishiwa kodi kwa asilimia 90% ndani ya mwaka mmoja. Kodi hiyo imepanda kutoka takribani TZS 700,000/- hadi TZS 1,500,000/- na mabadiliko haya yameanza Machi 2024.

Lakini kwenye frame hizo hizo naambiwa kwa mwaka jana 2023 kodi ilipanda kutoka TZS 400,000/- hadi kufikia 700,000/-. Naelewa hawa ni wafanya biashara na huenda kwamba anayeshindwa kulipa si lazima akae hapo lakini hii sio haki na sio sawa.

Najiuliza sana kama hawa wanafanyiwa hivi, si ajabu pia kuna wengine wanafanyiwa hivi lakini kwa taratibu tulizonazo hakuwa sehemu ya kufikisha malalamiko yao.

Serikali ni vema kuweka miongozo au kanuni kuhusu masuala ya kupangisha nyumba au frame; miongozo iseme wazi ni wakati kati kodi inaweza kupanda na kwa kwa kiasi gani na masuala mengine bila kumuumiza Mpangaji au Mpangishaji

Hali hii inaweza kusababaisha kuua bishara za wengi kwani kwa mfanyabiashara kuhama eneo huwa na impact kubwa sana lakini pia atawezaje kupata nguvu ya kupambana na biashara ili aweze kuishi na kuweza kuchangia mapato kikamilfu kwenye mamlaka za mapato Tanzania (TRA) kwaajili ya kuchangia pato la taifa kwaajili ya maendeleo ya wote?

Malalamiko mengine ni kuwa Mmiliki anataka fedha ya miezi 6 na hataki kupokea bank transfer bali anataka kiasi hiko kikubwa cha fedha takriban 9M kama fedha taslimu (mkononi), mbali na hayo Mmiliki anatoa mkataba wenye 1% ya pesa ilio lipwa yaani Mkataba kusoma Tsz 100,000/= tu

Je, Mamlaka husika inawasaidiaje Wafanyabiashara hawa? Mana hii ni kama case study ya tatizo hili nchini kwetu, wapo wanao miliki majengo na frame wengi sanaa wenye tabiaa hii.

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo na Makazi na Mamlaka ya Mapato (TRA) tunapaza sauti kwenu, tunaomba msikie sauti zetuu!
Swala la Kodi linapelekea Mfumko wa Bei......yaani haiko kihalisia kabisa.

Hata kama mtu mali yake hapangiwi lakini nadhani Tamaa imetangulia mbele
 
Tufundishe Watoto kuwa Dunia sio nyepesi,ndio Maana Mwenye aliiumba haonekani na hataki mambo mengi.
Mwenye aliumba Dunia alikuwa na Bwana Shetani kule juu..akamtumpia huku sisi tupate kuteseka naye Jiulize.
Kwenye hili nakubaliana na wewe.

Matesi yoote haya Chanzo ni Muumba mwenyewe.....mengine hapa tutalaumiana tu.
 
Ukiona hivyo ujue wakati wewe unauza kuna mwingine anamfata mwenye nyumba wako kuuliza mkataba wako unaisha lini ili apangishe yeye kwa dau nono.
Hii ilinitokea mimi tena dalali yuleyule aliyenipangisha eneo lile kaenda na mteja mwingine🤨
 
Pesa haina huruma na Mtu aliyepo Duniani.

Haya mambo ni mapama sana.Wengi wameishia na majeraha hii yote katika kuliwa na kulaja(To survive).

Mwenye Nyumba kajenga Pango lake kwa namna yake anayojua.

Mwenye Biashara anatafuta kwa namna yake.

Ukihitaji huruma Duniani basi jua Dunia imekushinda tayari.

Tufundishe Watoto kuwa Dunia sio nyepesi,ndio Maana Mwenye aliiumba haonekani na hataki mambo mengi.
Mwenye aliumba Dunia alikuwa na Bwana Shetani kule juu..akamtumpia huku sisi tupate kuteseka naye Jiulize.

Weye hapa Dunia unataka maisha marahisi.

Kwenye tunaripoti uonevu ndiko wenye frames zote huju mjini na connections.

Shirika la Nyumba tu mpaka sasa hakijawahi fanikiwa kujenga Nyumba za watu Maskini.

Watu pekee wanajenga na kuhifadhi maskini na watu wanaoamka kimaisha ni Hao wenye frames na Nyumba za Kupanga.

Mambo ni mengi muda mchache,kutqfuta hela za kutosha na kupambana na mifumo ya Dunia zaidi kiuchumi na kiafya.
HII COMMENT BORA KABISA
COMMENT YA KIBABE

ova
 
Back
Top Bottom