Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kama title nilivyoiweka hapo juu sina muda wa kupoteza.
Serikali wekeni list ya watumishi watakaopanda madaraja mwaka wa fedha 2021/22.
Wekeni hata kwa check number tu ili kulinda falagha maana kuna watu wana roho za kichawi, wakiona jina langu kuwa liko kwenye list wataanza kunichawia.
Kama serikali inaweza kutoa online salary slip jambo hili litashindikana vipi?
Yasije yale ya Hadithi za Pwagu na Pwaguzi ,unawakuta wawili unawaambia kati yenu 1 nimempa pesa kisha kila mmoja huhisi mwenzake ndiye kapata kumbe hakuna aliyepewa pesa.