Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nipe jina lako nikuombee upandishwe cheoingekuwa poa sana maana sisi wengine kama tuna mikosi
Tunataka kuona list. Isije ikawa ni janjajanja ya mjini tuTusubiri utekelezaji wa serikali
Kama title nilivyoiweka hapo juu sina muda wa kupoteza.
Serikali wekeni list ya watumishi watakaopanda madaraja mwaka wa fedha 2021/22.
Wekeni hata kwa check number tu ili kulinda falagha maana kuna watu wana roho za kichawi, wakiona jina langu kuwa liko kwenye list wataanza kunichawia.
Kama serikali inaweza kutoa online salary slip jambo hili litashindikana vipi?
Yasije yale ya Hadithi za Pwagu na Pwaguzi ,unawakuta wawili unawaambia kati yenu 1 nimempa pesa kisha kila mmoja huhisi mwenzake ndiye kapata kumbe hakuna aliyepewa pesa.
Hii sasa ni dharau kwa umma
Hapo watakuwa wametupiga za usoTunataka kuona list. Isije ikawa ni janjajanja ya mjini tu
Labda mwakani maana nchi imejaa madeni tupuKama title nilivyoiweka hapo juu sina muda wa kupoteza.
Serikali wekeni list ya watumishi watakaopanda madaraja mwaka wa fedha 2021/22.
Wekeni hata kwa check number tu ili kulinda falagha maana kuna watu wana roho za kichawi, wakiona jina langu kuwa liko kwenye list wataanza kunichawia.
Kama serikali inaweza kutoa online salary slip jambo hili litashindikana vipi?
Yasije yale ya Hadithi za Pwagu na Pwaguzi ,unawakuta wawili unawaambia kati yenu 1 nimempa pesa kisha kila mmoja huhisi mwenzake ndiye kapata kumbe hakuna aliyepewa pesa.
Jezi ya Mrema
Hawa wana CCM si wakutumainiwa kwa 100%Hapo watakuwa wametupiga za uso
haaaa wewe ni miongoni mwa watu wasiojulikana nini?Nipe jina lako nikuombee upandishwe cheo
Mimi gwajizo, nakuombea kwa mnyazimunguhaaaa wewe ni miongoni mwa watu wasiojulikana nini?