Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu.Kwanza lazima ujue mtu anajifunzaje lugha 1.Experience of language
2.Kitivo cha lugha(ubongo)
3.Universal language.
Sasa kama mtanzania anaexperience ya kiswahili 30%.ndio kiswahili ndio lugha mamma.Lakin 70% ya watanzania kiswahili ni lugha ya pili baada ya lugha za makabila,kwa hiyo kiingereza ni lugha ya 3.sasa Unataka mtu ambaye kwake lugha ya 3 iwe sawa na lugha mama.That's impossible.Cha kufanya tuhakjkishe watu wanajua kingereza kwa kiwango cha kawaida japo kujieleza kidogo(cha kuombea maji).sisi tujikite na lugha yetu ya kiswahili ambayo pia inatupiga chini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimu wenyewe hawajui , nani atasimamiaShida ipo kwenye exposure, watoto wa sekondari wanaweza kuthibitiwa angalau wawapo katika mazingira ya shule wawasiliane kwa kiingereza, siyo kuwaacha watwange kiswahili toka shuleni hadi mitaani
Huyo ni binti yako, je alikuwa au ana wito wa kuwa mwalimu?Bongo wapo wanaojua kiingereza kizuri tu.
Binti yangu alipomaliza form six alitunikiwa hati ya kiingereza na geography, tena shule za st Nyerere.
Kwani watu kama hao hawawezi kuwa waalim wazuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vema nduguNdugu.
Ndugu.
Takwimu za utumiaji wa lugha mama katika uchochezi na maendeleo wa Elimu, Mila na desturi, na hata uchumi zinapatikana.
Zinaonyesha kuwa, katika katika kumuelimisha mtoto kuwa na tija tukutu. Zinaonyesha kuwa zinajenga uelewa wa kutathmini "your environmemt" hapa, utamaduni, mila na desturi n.k...
...Ikiwezekana utumiaji wa lugha mama...iwe ni ya kikabila, ya kigeni ina changia kiasi kikubwa katika uelewa, basi watoto wafundishwe kwa lugha hizo mpaka darasa la tatu au nne...Kujichanganya na lugha usizozilewa kuna dhorotesha maendeleo ya mawasiliano, elimu kwa ujumla na hata utamaduni ikiwa pamoja na mila na desturi za mtumiaji/watumiaji.
Kweli hata lugha ya kiswahili ni geni na hata kiingereza, umuhimu wa kutambua ni vipi tunaweza kujikwamua kwenye sarakasi hizi ni kutambua kuwa Umuhimu wa lugha mama ni muhimu.
Malawi, Zambia, Zimbabwe, Uganda na Namibia nchi za SADC wanaweza kusaidia somo la Kiingereza kwa dharura wakati serikali ikijipanga kuwa waalimu wa kiTanzania wa mchepuo wa kiingereza na literature wapelekwe kusoma ktk nchi hizo tajwa za SADC.