Serikali/Wizara ya Habari hamuwaoni Mamodel/video queen kama huyu??

sasa wizara itafanya nini kama mzazi, boyfriend, shehe na mchungaji kamshindwa, wizara haiwezi ingilia mipango ya Mungu
 
unaweza jikuta uko chumvini bila kutarajia
 
Mara nying hawa watu wanategemewa na familia zao kwa kila kitu so whatever they doing is good to family...

Tofaut na hivyo anakuwa na mzazi mmoja(mama) eidha yatima....so they take a stuation as advantage

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona havutii...hana msambwanda wa haja..kabaya
 
unfair kabisa...wote wangekua ivo tusingeona difference
 
Ila ni kazurii.

....Basi sawa, ila huwa nashangazwa na jambo moja hivi kwa nini unakuta mrembo ana nyusi nzuuri naturally but badala ya kuzi trim/punguza anazinyoa zote then anapaka tena wanja/rangi nyeusi kwenye maeneo ambapo amenyoa nyusi?
 
S So what?
 
Jamani hizi anapigia wapi na nani mpiga picha!! Dah kajitoa mhanga yaani huyu ni zaidi ya wale waonajivisha mabomu kwenda kujilipua kwene kundi la watu!! Hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo bila milioni hupigi mzigo,,!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…