Serikali/Wizara ya Habari hamuwaoni Mamodel/video queen kama huyu??

Weka na namba zake tafadhali
 
Umemsahau na huyu mjumbe wa kamati kuu chadema anataka kutoa yake ya moyoni
 
Ila inabidi tujue tupo kwenye uchumi wa ubebari...mtu yupo free kufanya chochote ilimradi havunji sheria za nchi. Mimi sijaona kama kuna sheria inayokataza mtu kupiga picha na kuweka online.
Kama mtu anakukukera ni kuwacha kuwangalia very simple tu hapa ni kama umetoa free promo kwa huyu dada watu kama hawa wanapenda sana kuongelewa dawa ni kuacha kuwafuatilia na kuwaongelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…