Serikali ya Awamu ya 4 ya Jakaya Kikwete ndio ilithubutu Kuwafunga Jela Mawaziri na Makada wa CCM Mafisadi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wote tunakumbuka Daniel Yona alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri

Basil Mramba alifungwa Jela kwa Ufisadi aliofanya akiwa Waziri

Rajab Marandu alifungwa Jela kwa Ufisadi wa EPA

Hii ndio rekodi pekee ambayo Shujaa Magufuli aka Jiwe hakuivunja

Ramadan Kareem πŸ˜„
 
Acha uongo hakuna aliyewahi fungwa hapo zaidi ya Mramba kupiga picha akiwa kashika vifaa vya usafi
 
Sio rahisi kwa fisadi kukaa jela kwa sababu fisadi yupo juu ya Sheria,anao uwezo wa kuinunua Sheria.

Jela utakaa wewe masikini usiwe na uwezo wa kumpa soda hatq mchukua maelezo Yako police.

Wenzio anaekuchukua TU maelezo anatwangwa million tano kwann asikuongoze jinsi ya kuchomoka kwenye kesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…