Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Ana nyuzi zake humu JF za kujipamba na kujidekeza kiaina.Ukimsikiliza vizuri huyu jamaa huwezi kuelewa kwa undani dhamira halisi ya awamu ya sita tulianza na BBT ya Hussein Bashed kisha tukaingia Samia Road fund. Yote yamecolapse sasa amekuja bwana Kafulila David ambaye amekuja kwa speed ya ngiri na mawazo ya Motivation speaker.
Barabara yake ya ppp Dsm to Dom sijui imeishia wapiUkimsikiliza vizuri huyu jamaa huwezi kuelewa kwa undani dhamira halisi ya awamu ya sita tulianza na BBT ya Hussein Bashed kisha tukaingia Samia Road fund. Yote yamecolapse sasa amekuja bwana Kafulila David ambaye amekuja kwa speed ya ngiri na mawazo ya Motivation speaker.
how matumaini hewa?Jamaa anaongea kwa kasi utafikiri anafukuzwa, anazunguka kwenye vyuo vikuu kuuza matumaini hewa wakati ukweli wa mambo huku uraiani ni tofauti kabisa.
Anazungumza takataka nyingi.how matumaini hewa?
Hapo kwenye barabara walijinadi wanatengeneza kilomita elfu mbili(2000) za lami nchi nzimaUkimsikiliza vizuri huyu jamaa huwezi kuelewa kwa undani dhamira halisi ya awamu ya sita tulianza na BBT ya Hussein Bashed kisha tukaingia Samia Road fund. Yote yamecolapse sasa amekuja bwana Kafulila David ambaye amekuja kwa speed ya ngiri na mawazo ya Motivation speaker.
..anazo sifa za kuwa lecturer na elimu ya kuunga unga ukubwani..?Mkuu umeniwahi huyu jamaa anavyoengea sijui vina msaada gani kwa jamii kwa sasa. Bora hata akawe lecture majob less watapata degree 🥲