Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Serikali ya awamu ya sita imetekeleza Ilani Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 katika Eneo la Umwagiliziaji kwa asilimia 82 mpaka sasa.
Lengo lilikuwa ni Kuongeza eneo lenye miundombinu mpaka kufikia hekta 1,200,000 ifikapo mwaka 2025 Ambapo hadi mwaka 2024 Eneo la umwagiliaji LIMEONGEZA hadi kufikia hekta 983,466.06 hiyo ni kutokana na maelekezo ya Ilani ya Chama cha Mapinduzi Ibara ya 37(A)(a)
Wajumbe tukutane Jijini Dodoma tarehe 18-19 Januari 2025 katika mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi kusherehekea mafanikio yetu.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama