figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
nonsenseSalaam Wakuu,
Yaani sasa ndo nimegundua kwamba, Mtu akipata madaraka kwa kumwaga damu, anakuwa ananuka damu hata aoge kwa jiki.
View attachment 3542706
Juzi Karikaoo wakati wa Uzinduzi wa Soko lililoungua, baada ya Wakina Samia kufika, soko zima likawa linanuka damu za watu.
Watu wakawa wanatema mate chini..
Yaani Ukiwasogelea wananuka damu mbichi kabisa.
View attachment 3542709
Jizi kati Februari 11, 2026, Mwigulu Nchemba alikuja kuzindua na kukabidhi miundombinu ya utalii 21 iliyojengwa katika Hifadhi za Taifa za Nyerere, Ruaha, Mikumi na Msitu wa Mazingira Asilia Kilombero. Watu walishindwa kula chakula.. Kulikuwa na harufu ya damu za watoto wetu.
View attachment 3542707
Hawa watu wananuka damu live live. Mungu kaanza kiwanyosha.. Safari hii watanuka hafi kinyesi
Wauaji lazima mlipie damu za watu.nonsense
Mimi hata kila akihutubia huwa nasikia harufu ya damu kwa hiyo huwa nabadilisha chanel.Salaam Wakuu,
Yaani sasa ndo nimegundua kwamba, Mtu akipata madaraka kwa kumwaga damu, anakuwa ananuka damu hata aoge kwa jiki.
View attachment 3542706
Juzi Karikaoo wakati wa Uzinduzi wa Soko lililoungua, baada ya Wakina Samia kufika, soko zima likawa linanuka damu za watu.
Watu wakawa wanatema mate chini..
Yaani Ukiwasogelea wananuka damu mbichi kabisa.
View attachment 3542709
Jizi kati Februari 11, 2026, Mwigulu Nchemba alikuja kuzindua na kukabidhi miundombinu ya utalii 21 iliyojengwa katika Hifadhi za Taifa za Nyerere, Ruaha, Mikumi na Msitu wa Mazingira Asilia Kilombero. Watu walishindwa kula chakula.. Kulikuwa na harufu ya damu za watoto wetu.
View attachment 3542707
Hawa watu wananuka damu live live. Mungu kaanza kiwanyosha.. Safari hii watanuka hafi kinyesi
Salaam Wakuu,

nani akulipe mamaluki lofa kama wewe gentleman?Wauaji lazima mlipie damu za watu.
Sasa hapo unakua ndo uhalisia , au ni nyinyi tu fikra yenu inawapeleka huko?Mimi hata kila akihutubia huwa nasikia harufu ya damu kwa hiyo huwa nabadilisha chanel.
Ni king'ang'anizi sana mkuu mbaya zaidi kichwani hamna kitu!Mama Abdul atamaliza mwendo wake kwa fedheha kubwa sana, aliyemshauri agombee 2025 hakumtendea haki hata kidogo.
Mnanuka damu za watoto wetu.🚮🚮🚮
Ungewalea vzr wasiwe magaidiMnanuka damu za watoto wetu.
Kabisa Mkuu... Hawajielewi wala hawajui waseme nini.hata wao wanajua kuwa wananuka damu ndio maana kama wamechanganyikiwa hivi
HaitambulikiSerikali ya mchongo ya wauaji
Naam 💯💯 madhara ya kulazimisha kupendwaHaitambuliki