Serikali ya awamu ya tano imeshughulikia maslahi ya Wananchi

Serikali ya awamu ya tano imeshughulikia maslahi ya Wananchi

dndagula

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
1,602
Reaction score
1,650
Maoni na ushauri wangu kwa wananchi ni kuwa pamoja na

Ukinzani wa hoja potofu kuwa Serikali ya Dr. Magufuli imefanya mambo mengi yanyohusu maslahi ya watu. Kwa mfano tumeshuhudia Rais na mawaziri wakitatua kero za wananchi kwenye ziara zao. Lakini pia miradi iliyoanzishwa imeelekezwa kwenye maisha ya mtu binafsi kama vile uboreshaji wa mifumo ya maji, umeme, elimu na afya.

Wanaopinga mipango ya kijamii iliyoanzishwa au wanajifanya kutoona au kwa maslahi yao binafsi. Wananchi wapuuzeni kwa vile hakuna nchi iliyoendeleza maisha ya watu wake bila miundombinu ya kiuchumi. Halikadhalika maendeleo ya vitu ndiyo maendeleo ya watu hususani pale unapoongeza kipato cha mtu mmojammoja kupitia nyenzo za kiuchumi.

Ni kweli zipo changamoto kadhaa zinazohitaji kutatuliwa. Hivyo ni kupotosha ukweli kuwa hakuna kilichofanyika kuhusu watu. Nimemsikia Lissu aki. Challenge kuwa nguvu kubwa ya maendeleo imeelekezwa kwa vitu km ndege je hizi hazina multiplier effect kwa uchumi wa mtu mmoja?

Naomba majibu.
 
Magufuli atakosa Kura nyingi kutoka wafanyakazi sekta binafsi.

Magufuli rudisha Fao la kujitoa

Watu wanaofukuzwa kazi wanatakiwa kulipwa akiba zao zote. Na sio kulipwa 33% ya mshahara, Kwani Kodi ya Nyumba watalipa 33%?
 
Muulize alisomea uchumi wapi? Sheria zenyewe anazojifanya amebobea zimempiga chenga, the guy is bogus.
 

1602351432622.png
 
Back
Top Bottom