Na wanajua wajibikaji, wala hawaogopi kuwajibika, sasa njoo Afrika uone maajabu ya chaguo la Mungu. Nakusingizia mabeberu kwa hoja nyepesi nyepesi.Wenzetu uongozi ni sehemu ya kutumikia watu kwa dhati sio sehemu ya kujilimbikizia mali za umma kwa msaada wa katiba na vyombo vya ulinzi.
In short wenzetu kila mtu anabeba msalaba wake.
Bulgaria wamechoma moto miundombinu,sheli na mali za watu,wameua askari?..ukitaka mtazamwe tu mpindue?Mama mbogamboga yeye ni kuuwa tu haangalii dhambi zake zilipo.
25/12-1/1 yameitishwa maandamano,uje uwe msitari wa mbeleMmeona hiyo idadi ya watu?
Hiyo idadi hakuna cha polisi wala jeshi la Tanzania linaloweza kukabiliana nayo.
Hapo ndo siri ilipo.
Hakuna haja ya kuchoma vitu ili kuonyesha hisia zenu ikiwa uhuru wenu wa kutoa maoni na kukosoa haujakandamizwa, lakini ukute kufanya tu maandamano ya amani hamruhusiwi, na hapo ukikosoa unatekwa, vyombo vya habari havina uhuru, vyama vya upinzani vinazuiliwa kufanya shughuli zake za kisiasa na viongozi wake wanakamatwa wapo jela, mitandao ya kijamii inafungiwa.Vipi huko Wamechoma Moto vituo vya daladala na Mabus?VP Kuhusu kuiba maduka ya Watu yamevunjwa huko Bulgaria?,kuchomea Watu nyumba zao je?
Huku kiongozi ambaye yupo hapo kwa ajiri ya hao wananchi anawaambia hao hao wananchi kuwa kama hamnipendi subirini hadi muda wangu uishe ndio mumeweke mnaemtaka.Wanaojielewa hao wanaachia wengine wanakuja maisha yanaendelea,kwetu wanakuua ukipona wanakuuzia uhaini, in Africa nimeamini wengi bado level ya nyani ubinadamu bado
Nashangaa hawajaziba njia na kuuliza watu vitambulisho.Labda jeshi lao la polisi sio imara kama letu. Mulilo aende huko akawafundishe mbona kama Serikali ya Samaki
Ila kama jeshi lingeziba njia na kuwa wapo teyari kupiga shaba ukisogea sidhani kama wangefikia hivyo.Mmeona hiyo idadi ya watu?
Hiyo idadi hakuna cha polisi wala jeshi la Tanzania linaloweza kukabiliana nayo.
Hapo ndo siri ilipo.
Kwani Bulgaria nao walifungia mitandao ya kijamii? Waliteka wakosoaji na kuwauwa?Bulgaria wamechoma moto miundombinu,sheli na mali za watu,wameua askari?..ukitaka mtazamwe tu mpindue?
Mkosoaji gani tz alitekwa na kuuawa?.. vurugu na uhalifu mliofanya ni kwa kuwa mitandao ilifungwa au kudai mabadiliko ya katiba?..mnajua hata mnachokitaka?Kwani Bulgaria nao walifungia mitandao ya kijamii? Waliteka wakosoaji na kuwauwa?
Inaonekana huna mchango wala maana yoyote katika Taifa hili, watu wakichoshwa na serikali dhalimu ni muhimu wakajitoa mapema bila shinikizo, lakini wanapokaidi matakwa ya wananchi ndipo yanatokea ya kutokea wanaanza kufyeka raia kwa mtutu wa bunduki.Bulgaria wamechoma moto miundombinu,sheli na mali za watu,wameua askari?..ukitaka mtazamwe tu mpindue?
Matakwa ya wananchi au ya wahuni tu wakiongozwa na chuki za kidini walizojazwa na viongozi wao!?Inaonekana huna mchango wala maana yoyote katika Taifa hili, watu wakichoshwa na serikali dhalimu ni muhimu wakajitoa mapema bila shinikizo, lakini wanapokaidi matakwa ya wananchi ndipo yanatokea ya kutokea wanaanza kufyeka raia kwa mtutu wa bunduki.
We umetoka wapi nawe, Mbona unaongea kama umekunywa chimpumu!Matakwa ya wananchi au ya wahuni tu wakiongozwa na chuki za kidini walizojazwa na viongozi wao!?
Kwamba haujui kuwa Tanzania kuna utekaji na watekaji hawakamatwi wanaishia kuitwa wasiojulikana? Wakina Mdude, Polepole n.kMkosoaji gani tz alitekwa na kuuawa?.. vurugu na uhalifu mliofanya ni kwa kuwa mitandao ilifungwa au kudai mabadiliko ya katiba?..mnajua hata mnachokitaka?
·umeona hapo hao wakichoma vitu wetu ni majambaziHaiwezekani kwa serikali ya samuya,inaishia kupiga risasi waandamanaji
na pia ni wastaarabu hawachomi wala kuiba maduka wetu ni majambaziMmeona hiyo idadi ya watu?
Hiyo idadi hakuna cha polisi wala jeshi la Tanzania linaloweza kukabiliana nayo.
Hapo ndo siri ilipo.