Serikali ya Bulgaria yajiuzulu baada ya wananchi kuandamana kupinga Rushwa

Aisee
 
utauaje kama hamna vurugu? mara ngapi chadema wameandamana huku wakilindwa?
1. Vurugu adhabu yake siyo kifo bila due process.

2. Wengi waliouliwa wala hawakuwa wanafanya vurugu.

3. Watoto wameuliwa wakiangalia mpira vibandani. Kuangalia mpira si kufanya vurugu. Na hata ingekuwa ni kufanya vurugu, bado adhabu yake si kifo cha papo hapo.

4. Wameuliwa watu waliokuwa wanaenda madukani, waliokuwa wanavuka barabara, waliokuwa wanarudi majumbani kwao kutoka kwenye shughuli zao. Hayo yote ni vurugu ambayo adhabu yake ni kifo cha papo hapo toka kwa wahuni wa CCM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…