RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Hao mnaowakamata kwasababu za kisiasa ni walipa Kodi halali na TRA inawatambua!mkosoaji wa mitandaoni yeyote yule hawezi kukosoa bila kununua bando na hawezi kununua bando bila kufanya kazi,mnapomkamata maana yake mmepoteza mlipa Kodi na serikali itakosa mapato ya kumalizia miradi ya maendeleo.
Tuache kuihujumu serikali na wapiga kura,mwanzilishi wa vyama vya upinzani ni sisi wenyewe na harakati zao kuanzia mikutano na vikao vya ndani ni chanzo Cha mapato Kwa serikali yetu kupata mapato kupitia Kodi za mafuta,vinywaji na mengineyo,kushulika na wapinzani ni kujihujumu sisi wenyewe!!
Kama tunataka kukamata watu tuwakamate tuliowapa dhamana halafu hakuna Cha maana walichofanya kwenye majimbo yao,kamateni wabunge na madiwani wa chama tawala ambao wamepiga fedha za miradi na kutokamilika miradi mbalimbali kwenye maeneo Yao na hata kama wamekamilisha wamekamilisha chibi ya kiwango! Kamateni hao hao waacheni wapinzani coz KAZI Yao no kukosoa na wanaifanya vizuri kuliko hata baadhi yetu wanavyofanya kwenye miradi ya chama!!
Mchakato wa katiba mpya haukuanzishwa na wapinzani ni sisi wenyewe,Sasa kama ni sisi kwanini wakitukumbusha kuhusu reforms na katiba mpya tuwakamate!!?
Nashauri kamati kuu ya chama chetu ccm turudi kwenye misingi ya uwajibikaji na uvumilivu wa kisiasa!!kifupi nimechoshwa na habari ya kukamatwa kwa wapinzani kana kwamba wanaccm wote ni watakatifu kuliko wao!!na wao ni ndugu zetu walipa Kodi wanapaswa kulindwa na kushauriwa mema sio kukamatwa na kupotezwa kama inavyotokea sasa!!
Nashauri,Nakemea,naonya kwasababu kinachofanyika hakijengi chama Bali kinaongeza chuki kwa chama na wanachama na kuharibu taifa,hatuwezi kuwa na taifa la ccm pekee Bali taifa la wote bila kujali itikadi!!
"Mawazo hayapigwi Rungu"!!! Kama alivyosema kikwete!!
Tujitafakari!!