Serikali ya CCM haifurahi ukiwa na kiasi kikubwa cha fedha benki, unafilisiwa kwa kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi

Rais Magufuli ni mwongo na mnafiki mkubwa! Anachoongea na anachotenda ni kitu 2 tofauti. Zaramo wanasemaga "Zilongwa mbali na zitendwa mbali."
Huwa simuelewi anaposema anataka kutengeneza Mabilionea 100 sijui anawatengenezaje kwa kubambikia watu kesi za uhujumu uchumi.....!!!!
 
Mimi za kwangu naziweka kwenye kibubu kinacholindwa na viumbe wasioonekana.
 
Nchi nyingi sana ulimwengu huu ukiwa na pesa benki isiyoendana na shughuli unazofanya lazima wakuingilie kati mkuu.
 
Na mbaya Zaid ukiweka kwenye bank za Tanzania Kama crdb, nmb, n.k wale Kama wanashirikia na mamlaka vile mfano sakata la kakobe na nbc ni uthibitisho tosha, ni Bora ikawekwa kwenye foreign bank
 
Bila aibu una'support vurugu na kukosekana amani nchini kwako?.
Kabisa.... Mbona watu wanatekwa, wanateswa wanapigwa risasi wansuawa wanaccm mnashangilia sana..... Hao jamaa wakija hawachagui chama cha kushughulika nacho
 
Na mbaya Zaid ukiweka kwenye bank za Tanzania Kama crdb, nmb, n.k wale Kama wanashirikia na mamlaka vile mfano sakata la kakobe na nbc ni uthibitisho tosha, ni Bora ikawekwa kwenye foreign bank
Hata TRA huko huko ndipo hufunga Account kiwepesi kuliko mabenk mengine ambayo huona mteja ni mfalume humjulisha mapema pindi wakiona maofisa vinara wa uonevu wa TRA wakiwa wananyemelea account yake
 
Kama unafanya biashara na unakuwa utaratibu wa kulipa kodi ulitaka wafanye nini?

Jee uachwe bila kuwajibika na kodi ? Na nchi itaendeswajee?
 
Tuliletewa barua na BOT yakureporty kila mteja wetu anayeleta cash nyingi mara kwa mara. Majina yatumwe Bot nikataka kushare hiyo barua hapa miezi ile ya sita na saba lakini nikasita.
Kwa kifupi kla mteja analeta cash nyingi tunatuma jina

Cash nyingi ni kuanzia kiasi gani? millioni ngapi?
 
Kama unafanya benki nafikiri hiki si kitu cha ajabu kukiona. Kuna mahitaji ya AML/CFT, jitahidi kujielimisha katika haya halafu ndo uje uongee
 
Kiasi kikubwa kinaanzia Shs. ngapi? Maana sitaki kesi.
 
Upo makini sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…