BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Hii nchi zinaimbwa miradi kuchwa nzima kuanzia Madaraja,mara Barabara mara reli na kadhalika.
Ila huko huko kwenye hizo Barabara, Madaraja, reli kuna umasikini wa kutisha kabisa, Kule Kigongo Busisi vuka ingia hapo Sengerema kuna Poverty ya kutisha kabisa, Sogea hapo Geita kwa Msukuma kuna Umasikini acha kabisa.
Raia walisha ingia kwenye mfumo wa CCM na wao wanaimba vitu maendeleo ya vitu ilihali mlo tu ni shida kwao tena nI mjini kwenye rami, umeme na kila kitu.
Umasikini wa kutisha upo maeneo yote yenye miundo mbinu na yasio na miundo mbinu, kote kumejaaa umasikini wa kutisha.
Tena mijini ndio kumejaaa umasikini wa kutisha, kumbuka mjini kuna kila miundo mbinu.
Ukifuatilia Habari za China au India, kule wana Project za aina mbili za Miundombinu na Project za kulift raia kutoka kwenye umasikini.
China mfano Project za kulift wachina kutoka kwenye umasikini ni pamoja na Project za;
Hizo na zingine zinakuwa financed pesa nyingi sana ili kuondoa raia kwenye umasikini.
Tanzania hio haipo na umasikini ni mtaji mkubwa sana wa CCM na ili CCM iendelee kutawala lazima umasikini uwepo.

- Kilimo
- Uvuvi
- Ufugaji