Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Mwenye mhuri kikatiba ni mwenyekiti wa kijiji si kitongoji. Mhuri ni mamlaka. Mjini ni mwenyekiti wa MtaaKuna mambo ukiyawaza sana unabaki unawaza hawa watu wamekuwa je?. Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 ambao ulikuwa ni sehemu ya waharifu kujitangazia ushindi wa kishindo wa uongozi kwa kutumia mbinu za miaka ya 1200 huko. Waliopewa ushindi walianza kulalamika kuwa hawana mamlaka ya maandishi maana hawakuwa na stamp ama mihuri ya kazi. Sasa swali nauliza serikali ya CCM mlipata wapi mamlaka ya kunyang'anywa mihuri wenyeviti wa vitongoji?
Mwenye mhuri anatakiwa mtendaji wa mtaa.Kuna mambo ukiyawaza sana unabaki unawaza hawa watu wamekuwa je?. Baada ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka 2024 ambao ulikuwa ni sehemu ya waharifu kujitangazia ushindi wa kishindo wa uongozi kwa kutumia mbinu za miaka ya 1200 huko. Waliopewa ushindi walianza kulalamika kuwa hawana mamlaka ya maandishi maana hawakuwa na stamp ama mihuri ya kazi. Sasa swali nauliza serikali ya CCM mlipata wapi mamlaka ya kunyang'anywa mihuri wenyeviti wa vitongoji?
Ni MTENDAJI wa KIJIJI/MTAA.Mwenye mhuri kikatiba ni mwenyekiti wa kijiji si kitongoji. Mhuri ni mamlaka. Mjini ni mwenyekiti wa Mtaa
Kwa sheria gani?Mwenye mhuri anatakiwa mtendaji wa mtaa.
Kama kitu hujui acha kujiaibisha. Mtendaji ni karani wa Mwenyekiti wa Kijiji/Mtaa. Mpambe wa Mwenyekiti ni Mgambo na bunduki moja kikatiba ya Jamuhuri ya Muungano wa TanzaniaNi MTENDAJI wa KIJIJI/MTAA.
Hoja yangu ni kuwa anayetakiwa kuwa na MHURI ni MTENDAJI, maana ndiye mtaalmu na mwenye ofisi. Ndio maana hata vikao vya kijiji yeye ndio KATIBU.Kama kitu hujui acha kujiaibisha. Mtendaji ni karani wa Mwenyekiti wa Kijiji/Mtaa. Mpambe wa Mwenyekiti ni Mgambo na bunduki moja kikatiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Nikuache na ujinga wako. Maana kama ni mhuri, secretari wa boss ndiye anakaa na mhuri.Hoja yangu ni kuwa anayetakiwa kuwa na MHURI ni MTENDAJI, maana ndiye mtaalmu na mwenye ofisi. Ndio maana hata vikao vya kijiji yeye ndio KATIBU.
Hata Diwani hana Mhuri. Mwenye mhuri ni Mtendaji Kata.
Bingwa wa KUKAZA FUVU.Nikuache na ujinga wako. Maana kama ni mhuri, secretari wa boss ndiye anakaa na mhuri.
Kwa wanaotaka kujua ukweli, tukiachana na akina Mpwimbe , kikatiba nchi hii imegawanywa katika sehemu kuu 3. Rais (ndiye mwenye nchi ya Tanzania) analindwa ma JWTZ; pili ni Mkuu wa Mkoa bunduki 7 na Jeshi la Polisi. Ndiyo maana nyuma yake anakuwepo polisi kama mpambe. Mwisho ni Mweyekiti wa Kijiji/Mtaa ambaye nyuma yake anatakiwa kuwa na Mgambo na bunduki moja. Tatizo la watu kutojua, Mtendaji ana Kamata kwa kutumwa na Mwenye kijiji chake. Yeye hana madaraka hayo. Hata Diwani hana mamlaka kikatiba kama mwenyekiti wa kijiji/Mtaa ila kwa vile huwa hawajui mamlaka yao, mpaka wanazidiwa ujanja na watu mushi wao (watendaji wa Vijiji/mtaa).
Vijana jitahidini kujua mambo kama haya, msitumie hisia, chimbeni.
Mkuu umesema vizuri ila kwakuwa umesema neno "kikatiba," naomba utaje hicho kifungu kwenye hiyo katiba kinachothibitisha ulichosema. Maana unaweza kuwa umejificha kwenye kichaka cha "kikatiba" wakati sio.Mwenye mhuri kikatiba ni mwenyekiti wa kijiji si kitongoji. Mhuri ni mamlaka. Mjini ni mwenyekiti wa Mtaa
Unasema vizuri sana ila embj specifically weka hivo vifungu vya katiba na sheria mbali mbali ili tujifunze wote.Nikuache na ujinga wako. Maana kama ni mhuri, secretari wa boss ndiye anakaa na mhuri.
Kwa wanaotaka kujua ukweli, tukiachana na akina Mpwimbe , kikatiba nchi hii imegawanywa katika sehemu kuu 3. Rais (ndiye mwenye nchi ya Tanzania) analindwa ma JWTZ; pili ni Mkuu wa Mkoa bunduki 7 na Jeshi la Polisi. Ndiyo maana nyuma yake anakuwepo polisi kama mpambe. Mwisho ni Mweyekiti wa Kijiji/Mtaa ambaye nyuma yake anatakiwa kuwa na Mgambo na bunduki moja. Tatizo la watu kutojua, Mtendaji ana Kamata kwa kutumwa na Mwenye kijiji chake. Yeye hana madaraka hayo. Hata Diwani hana mamlaka kikatiba kama mwenyekiti wa kijiji/Mtaa ila kwa vile huwa hawajui mamlaka yao, mpaka wanazidiwa ujanja na watu mushi wao (watendaji wa Vijiji/mtaa).
Vijana jitahidini kujua mambo kama haya, msitumie hisia, chimbeni.
Mpaka leo unaamini vifungu vya kwenye katiba????Unasema vizuri sana ila embj specifically weka hivo vifungu vya katiba na sheria mbali mbali ili tujifunze wote.
Naogopa kuamini maneno mazuri bila uthibitisho