They'll fail before they even start, nobody is that fool to fall into that cheap hoax plan or rather a descriptive scheme.Kuna fununu kuwa Serikali fake ya CCM inakuja na mkakati wa kuwa na maridhiano na Gen-Z waliandaliwa na CCM, hili kuonesha kuwa Gen-Z wamemkubali Samia kama raisi. Tuwe makini na uongo wa CCM
Maridhiano ya nini? Uchaguzi ulikuwa batili.Kuna fununu kuwa Serikali fake ya CCM inakuja na mkakati wa kuwa na maridhiano na Gen-Z waliandaliwa na CCM, hili kuonesha kuwa Gen-Z wamemkubali Samia kama raisi. Tuwe makini na uongo wa CCM
Kwa mara ya kwanza naona serikali inawaomba watu wakubali maridhianoKuna fununu kuwa Serikali fake ya CCM inakuja na mkakati wa kuwa na maridhiano na Gen-Z waliandaliwa na CCM, hili kuonesha kuwa Gen-Z wamemkubali Samia kama raisi. Tuwe makini na uongo wa CCM
Yaan wanajali zaidi ku perform publick stunts kuliko ku solve tatizo halisi? Lini serikal itajifunza?Kuna fununu kuwa Serikali fake ya CCM inakuja na mkakati wa kuwa na maridhiano na Gen-Z waliandaliwa na CCM, hili kuonesha kuwa Gen-Z wamemkubali Samia kama raisi. Tuwe makini na uongo wa CCM
Kuti la mazoea ndilo linalomuangusha Mgema.. sasa Mgema ame....Yaan wanajali zaidi ku perform publick stunts kuliko ku solve tatizo halisi? Lini serikal itajifunza?