Kama waziri wa michezo mwenyewe alikuwa anahoji sababu ipi ya kumfukuza Amunike,ina maana haijui kabisa [emoji23][emoji23]?,waziri anashinikiza mambo ya asilimia 49 ambayo mchakato wake ulishapita tayari vichekesho kabisa,waziri anataka timu zipunguze idadi ya wachezaji wa kigeni kwa kigezo kuwa wazawa wapate nafasi wakati huo huo hawajaweka misingi ya kuwaandaa wazawa hivi navyo vichekesho,makocha wetu nao wazawa wanalalamika timu zetu kuajili wageni kuja kufundisha wakati wao hata wanne hawapo wanaofundisha nje ya nchi hi nayo aibu,tuna safari ndefu sana ya kufikia mafanikio kama nchi ktk michezo.