Serikali ya CCM inadumaza soka

Serikali ya CCM inadumaza soka

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Wanaongoza wizara ya michezo hawajui lolote kuhusu soka ushahidi ni waziri wa sasa

Asilimia kubwa ya viwanja vinavyochezewa ligi kuu ni mali ya ccm lakini Hawana muda wa kuviboresha viwanja vibovu na tff wala haiwaimizi kuvirekebisha

Kila siku matamko yasiyo na Tija
 
Kama waziri wa michezo mwenyewe alikuwa anahoji sababu ipi ya kumfukuza Amunike,ina maana haijui kabisa [emoji23][emoji23]?,waziri anashinikiza mambo ya asilimia 49 ambayo mchakato wake ulishapita tayari vichekesho kabisa,waziri anataka timu zipunguze idadi ya wachezaji wa kigeni kwa kigezo kuwa wazawa wapate nafasi wakati huo huo hawajaweka misingi ya kuwaandaa wazawa hivi navyo vichekesho,makocha wetu nao wazawa wanalalamika timu zetu kuajili wageni kuja kufundisha wakati wao hata wanne hawapo wanaofundisha nje ya nchi hi nayo aibu,tuna safari ndefu sana ya kufikia mafanikio kama nchi ktk michezo.
 
Kwanini hii serikali ya ccm ya kipindi hiki cha uncle nanihii kipaumbele chake ni michezo?
 
Back
Top Bottom