ENANTIOMER
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 1,419
- 804
![]()
Tazama hii picha.
Huu ni mtihani wa mwanafunzi wa kidato cha tatu, anategemewa awe kidato cha nne mwakani, kaishia kukopi maswali ya mtihani tena ovyo ovyo bila kueleweka na kuyakata kisha akakusanya, huyo ni mmoja tu, ni jaribu nusu ya darasa hufanya madudu hayohayo, nmepiga picha mtihan wake leo, alafu kesho wanasema walimu hawafundishi.
Nimfundishe nini mtoto kama huyo, alikuja form one hajui kusoma na kuandika, na mwaka jana kapita form II bila mchujo.
Hii ndio hatima ya nchi yetu na serikali ya CCM
Note: shule niliopiga picha haipo kijijini. 5km kutoka halimashauri ya wilaya
Ewe mtanzania acha kulalamika. ikiwa unataka kufundisha wanaojua, vipi wale wasiojua, watafundishwa na anani? Umeleta madudu ya asiejua, sawa tumeyaona. Tuwekee mazuri ya wanafunzi wako hata wawili waliojibu viruri, ili tuwe na imani na upendo wako kwa watanzania wenzako!