Serikali ya CCM na hatima ya elimu yetu


Ewe mtanzania acha kulalamika. ikiwa unataka kufundisha wanaojua, vipi wale wasiojua, watafundishwa na anani? Umeleta madudu ya asiejua, sawa tumeyaona. Tuwekee mazuri ya wanafunzi wako hata wawili waliojibu viruri, ili tuwe na imani na upendo wako kwa watanzania wenzako!
 
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhh . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . hatari sana

Sent from my BlackBerry 9860 using Jamiiforums
 
Namshangaa mtu anayewaponda walimu kwani hata yeye asingefika hapo bila msaada wa walimu.Kwa hapo mleta uzi hajakosea kwani serikali ndio inapaswa kulaumiwa.Mwalimu mmoja anatakiwa afundishe wastani wa wanafunzi 40 hadi 45 lakini bongo tunafundisha wanafunzi 200 darasani, unatarajia mwanafunzi atatoka na mini hapo, ndio maana tunasema elimu yetu inaharibiwa na wanasiasa.
 
Wote hapa wanaojibu ni wana ccm wanajua upuuzi wanaofanya na serikali yao, haiwezekani unakurupuka unasema hakuna mtihani wa darasa la nne, kidato cha pili, alafu utegemee miujiza kidato cja nne.

Elimu ina miiko yake, kama hujapitia psychology ya elimu uwez jua haya mambo, walimu wenzangu wanajua sio kila mtu ni cognitive, kuna psychomotor pia. Lakin siasa za CCM znataka kila mtoto awe cognitive

Sasa kuna watu wanakuja hapa wanaropoka fanya kazi yako, kwa iyo niingie kichwani kwa mwanafunzi ni nifanye sehemu yake au.

Elimu ina miiko yake, wakati watu wanaenda kuchukua cheti cha ualimu miaka 2 wakat fani nyingine zikichukua cheti kwa miez 6 mpka mwaka, fahamu kuna vitu vingi watu wanasoma ambavyo walimu wana vifahamu kuliko wana siasa CCm na waropokaji baadhi humu.

Hapo nmezungumuzia walimu wa cheti, cjawagusa level za juu zaid.
 

Hivi kwanini nyie walimu huwahamuishi kulalamika?
 

Hivi kwanini nyie walimu huwahamuishi kulalamika? Sasa mnailalamikia CCM ndo mnatakaiingie drsn kufundisha?
Nani mwenye jukumu la kumfanya mtoto ajue kusoma?
I love my land,Tanzania wasiojitambua ndo wamekabidhiwa watoto wafundishe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…