Serikali ya CCM tuambieni ,mlitoa wapi ujasiri wa kuchukua pesa ya kununua treni na mabehewa mapya,mkatuletea mtumba?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

Mlichukua pesa cash toka mkopo mliotukopea kwa ahadi kuwa mtaleta Treni na mabbehewa mapya, Cha ajabu,

Mkaleta treni na mabehewa Chakavu kinyume na Sheria za manunuzi zinazotaka sirikali kununua vitu brand new.

Cha ajabu,kiongozi Mkuu naye akitoka na KUKIRI kuwa ni kweli ni Chakavu. Kwamba tuwavumilie, mtaleta na mapya mbeleni.

Swali: 1. Ujasiri huo mlitoa wapi?

Swali 2. Change ilobaki mbona haikurudi?

Swali 3. Vipi kuhusu usalama wetu kutumia engine mtumba/ chhakavu?

Nawasilisha 🙏
 
Kama kweli train zilizoletwa ni chakavu basi sio muda changamoto ya SGR itakuwa kama U-DART usafiri changamoto.

Asilimia kubwa ya train zitakuwa chakari zimelala depot.

Labda ndio maana Kadogosa kakimbia na kuwaachia msala wengine.

On a serious note biashara ya faida inataka mipango thabiti, if you conduct thoroughly service costing ya kuendesha railway kwenda kununua mikweche ni inevitable failure.
 
Ni mitumba na ssh alikiri wazi.

Hofu YANGU ni usalama wetu raia ukizingatia Kasi kubwa ya treni.

Tunawahi kusahau sana watz!
 
Kama ni mitumba story ni ndefu to why it’s a bad idea.

Surely serikalini wana accountants or bachelor business graduates or MBA’s wa kuwaambia don’t do that.

Vinginevyo kuanza kuelezea faida ya railway kwa hesabu za service costing and why it’s a bad idea kununua mitumba ni story ndefu.

Kwanini huyo wa mwanzo kazitupa kwa hesabu ya salvage price, an accountant will see why it’s a bad idea.

You expect TRC ina wataalamu wa strategic planning.
 
CCM yako unayoitetea hapa Kila siku.
 
Ex TRC head yupo anagombea ubunge kwenye jimbo jipya alilotengenezewa huko Usukumani na ana pesa balaa. Usiniulize alikozitoa lakini anagawa mpaka milioni moja cash papo kwa papo kwa mtu ye yote ukimkuta ameamka vizuri. Jamaa walipiga hela ndefu sana kwenye haya mabehewa feki!
 
Alikuwepo Kadogosa.

Hii nchi hii!
 
Ex TRC head yupo anagombea ubunge kwenye jimbo jipya alilotengenezewa huko Usukumani na ana pesa balaa. Usiniulize alikozitoa lakini anagawa mpaka milioni moja cash papo kwa papo kwa mtu ye yote ukimkuta ameamka vizuri. Jamaa walipiga hela ndefu sana kwenye haya mabehewa feki!
Ile pesa ilikuwa ya mkopo!

Ikiwa pesa ya mkopo,

Tutor wapi watz, riba na pesa ya kulipa deni la mkopo?

Lissu akiwa CEO hatosita kusaini watu Hawa kunyongwa!
 
Kama kweli train zilizoletwa ni chakavu basi sio muda changamoto ya SGR itakuwa kama U-DART usafiri changamoto.

Asilimia kubwa ya train zitakuwa chakari zimelala depot.

Labda ndio maana Kadogosa kakimbia na kuwaachia msala wengine.

On a serious note biashara ya faida inataka mipango thabiti, if you conduct thoroughly service costing ya kuendesha railway kwenda kununua mikweche ni inevitable failure.
🙋✍️👍🤝🙏
 
Back
Top Bottom