Ni mitumba na ssh alikiri wazi.Kama kweli train zilizoletwa ni chakavu basi sio muda changamoto ya SGR itakuwa kama U-DART usafiri changamoto.
Asilimia kubwa ya train zitakuwa chakari zimelala depot.
Labda ndio maana Kadogosa kakimbia na kuwaachia msala wengine.
Chenji najua wataitapika mbeleni,Unamjua Togo.... Mav.ul, yule balozi wa huko. Kijana wa mzee msoga, ndiye msimamia dili.
Kama ni mitumba story ni ndefu to why itβs a bad idea.Ni mitumba na ssh alikiri wazi.
Hofu YANGU ni usalama wetu raia ukizingatia Kasi kubwa ya treni.
Tunawahi kusahau sana watz!
CCM yako unayoitetea hapa Kila siku.Kama ni mitumba story ni ndefu to why itβs a bad idea.
Surely serikalini wana accountants or bachelor business graduates or MBAβs wa kuwaambia donβt do that.
Vinginevyo kuanza kuelezea faida ya railway kwa hesabu za service costing and why itβs a bad idea kununua mitumba ni story ndefu.
Kwanini huyo wa mwanzo kazitupa kwa hesabu ya salvage price, an accountant will see why itβs a bad idea.
You expect TRC ina wataalamu wa strategic planning.
Alikuwepo Kadogosa.Kama ni mitumba story ni ndefu to why itβs a bad idea.
Surely serikalini wana accountants or bachelor business graduates or MBAβs wa kuwaambia donβt do that.
Vinginevyo kuanza kuelezea faida ya railway kwa hesabu za service costing and why itβs a bad idea kununua mitumba ni story ndefu.
Kwanini huyo wa mwanzo kazitupa kwa hesabu ya salvage price, an accountant will see why itβs a bad idea.
You expect TRC ina wataalamu wa strategic planning.
Ile pesa ilikuwa ya mkopo!Ex TRC head yupo anagombea ubunge kwenye jimbo jipya alilotengenezewa huko Usukumani na ana pesa balaa. Usiniulize alikozitoa lakini anagawa mpaka milioni moja cash papo kwa papo kwa mtu ye yote ukimkuta ameamka vizuri. Jamaa walipiga hela ndefu sana kwenye haya mabehewa feki!
Utaratibu ni kuhakikisha jumba bovu alikuangukii.Alikuwepo Kadogosa.
Hii nchi hii!
Kwa msimamo wa Lissu na TEC, jumba bovu linaanguka.Utaratibu ni kuhakikisha jumba bovu alikuangukii.
πβοΈππ€πKama kweli train zilizoletwa ni chakavu basi sio muda changamoto ya SGR itakuwa kama U-DART usafiri changamoto.
Asilimia kubwa ya train zitakuwa chakari zimelala depot.
Labda ndio maana Kadogosa kakimbia na kuwaachia msala wengine.
On a serious note biashara ya faida inataka mipango thabiti, if you conduct thoroughly service costing ya kuendesha railway kwenda kununua mikweche ni inevitable failure.
π€£ π€£ π€£ πUnamjua Togo.... Mav.ul, yule balozi wa huko. Kijana wa mzee msoga, ndiye msimamia dili.
π€£ π€£ π€£ πAlikuwepo Kadogosa.
Hii nchi hii!
π€π€π€πππIle pesa ilikuwa ya mkopo!
Ikiwa pesa ya mkopo,
Tutor wapi watz, riba na pesa ya kulipa deni la mkopo?
Lissu akiwa CEO hatosita kusaini watu Hawa kunyongwa!
π€£ π€£ π€£ πUtaratibu ni kuhakikisha jumba bovu alikuangukii.