Hizi ziara mnazofanya na anazofanya Raisi wetu huko nje hazionyeshi kuwa na tija yeyote ile ya kimaendeleo na kielimu.
Leo nimeskia nchi ya Mali imekubaliana kushirikiana katika nyanja za mambo ya satalaiti na Urusi na kenya nayo imeweka makubaliano ya kielimu.
Viongozi wetu mnaenda kufanya nini mbona kila mkirudi mnatutangazia madeni tu? hatusikii mmetiliana saini mikataba ya elimu na maendeleo ya teknojia katika elimu ya msingi.
Toka miaka hio tuna simultaneous equation mpaka leo ,wakati watu wapo na uvumbuzi wa kuakimbia mafuta sisi tunataka kuanza kuyachimba, siku tukifanikiwa kuchimba geloni moja ndio siku tutasikia kuwa petroli haina faida tena kwani kila machine ni hybrid.
Embu fungueni macho ,kuna Japan, kuna China kuna Urusi angalau jeshi letu liweze kutengeneza risasi na vifaa vya kisasa viachane na magobore.