Tetesi: Serikali ya CCM yashindwa kulipa Posho za Madaraka ya Walimu Wakuu, Wakuu wa shule, vyuo, na Maafisa Elimu kata pamoja na ruzuku za shule Dec 2022

mashetani yaliyo na roho mbaya hayo yanaendelea kukatisha tamaa utawala wakati yanaandaliwa maisha mazuri yenyewe yaani binadamu hawana wema ndiyo maana hata vikundi vywao vya saccoss vinabuma tu sasa hivi wamelambishwa asali acheni mama afanye kazi
Waziri rudi nyumbani. Toka huko china kwa mumeo uje ujenge taifa.
 
Wasimamizi wa Kura wanasomeshwa namba na hawana la kufanya.

Wanasubiri msimu wa uchaguzi wapate posho ili wavuruge tena uchaguzi.

Anayewahurumia waalimu kwa segere wanalochezeshwa leo anapoteza muda wake.

Watanzania kwa asilimia kubwa wanateseka kutokana na kutotekelezwa ipasavyo ilani ya CCM wanayotamba kuwa wanaitekeleza.

Watanzania wengi wanateseka kutokana na CCM kupoteza uhalali wa kuongoza nchi. Kilichobaki wanaokoteza okoteza ili kufutana machozi.

Mama anaupiga mwingi in negative way kwa sababu anajua shida za wamanchi lakini anawabeza kuwa wanaolalamikia ubovu wa serikali
 
Kwani mwezi December umeisha?mbona unakihelehele cha kuandika
 
Nyie ndo CHANZO CHA MATATIZO, yaani unasubiri mpaka watumishi wakose mishahara ndo utaongea? Hii ni indicator mbaya ya mwanzo kukosa kulipa posho za watumishi na hela ya likizo. Usisubirie watu wakose mishahara ndo uamini
 
Hivi hii serikali inaweza kitu gani ?
 
Ndugu
Mimi natamani sana kuamini hekaya zako.
Hebu tuwekee data hapa basi za wangapi wamelipwa na hao waliolalamika tuwasute.

Asilimia kubwa ya viongozi wanashindwa kudeliver badala yake wanapayuka payuka mambo ambayo naamini hata akili zao zinawashangaa.

Wewe mwenyewe unapayuka payuka kwa sababu ya matone ya asali unayoyalamba. Haujui shida za wananchi kwa sababu kila kitu unalipiwa. Tuache na shida zetu wewe endelea kusifia ujenzi wa vyoo
 
Mwigulu walamba asali
 

Rais kasema kwamba serikali haina fedha wewe unabisha Nini?.
 
Sio perception ni reality.
Na hiyo ndio hasa raha ya ualimu.
Likizo kama zote. Hakuna raha nyingine zaidi ya hiyo.
Ama sivyo na wao wawe wanachukua likizo kama watumishi wa kada nyingine yaani jan, feb nk. jambo ambalo haliwezekani kwasababu wateja wao wanahitaji huduma yao kwa miezi hiyo!

Ualimu rahaa asikwambie mtu. Ukiachia mbali wakuu wa shule wenye nongwa wanaojiona miungu watu, ualimu ni kazi nzuri sanaaa!
 
TUAMBIE CHAMA MBADALA UNACHOKIONA KINA FAA ZAIDI YA CCM NA TOA MAONI YAKO NIKWANINI UNAONA CHAMA HICHI KINA FAA NDIYO TUTAKUELEWA ZAIDI YA HAPO TUNAKUONA NI MTENGENEZA MAJUNGU TU
 
vipi yale mathreds yako marefu ya vichwa vinavyosema VIJANA WANAMKUBALI MAMA yameishia wapi kaa tena ujitafakari uandike hivyo vichwa vyako vya habari vya kutafta uteuz bila kusahau namba zako kule mwisho lakin kwa taarifa wewe na huyo mamako 2025 mtajua hamjui tutawanyoosha mpaka adabu iwajie dawa yenu pekee ni either mkimbie nchi au mgombee mpate aibu ya mwaka.
 
Siyo posho ya DECEMBER ni ya NOVEMBER na DECEMBER
 
Posho hutoka sambamba na fedha ya luzuku...sawa posho siyo lazma je na pesa ya luzuku ipo wapi?...kuna shule hutumia pesa hizo kulipa wafanyajazi wake...pesa hiyo ndo hutumika kuandaa mipango kazi ya mwaka Mpya wa masomo....leo hii shule hazina hela maandalizi ya ufundishaji imesimama bado wik 2 shule kufunguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…