Tume ya Fidia ya Gambia imeanza kulipa fidia kwa waathirika wa ukiukwaji wa haki za binadamu uliotekelezwa chini ya utawala wa aliyekuwa dikteta wa nchi hiyo, Yahya Jammeh, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa Januari 13, 2026
Tume hiyo imesema hatua hiyo ni “hatua muhimu” katika kutimiza jukumu lake la kuhakikisha haki na kurejesha utu wa waathirika. Ilieleza kuwa malipo hayo yanafanyika kwa awamu, yakianza na waathirika waliopitia ukiukwaji wa haki katika miaka ya mwanzo ya utawala wa Jammeh.
Jammeh, aliyekuwa afisa wa kijeshi, aliingia madarakani kupitia mapinduzi ya kijeshi mwaka 1994 na aliendelea kutawala hadi mwaka 2017. Alikimbilia uhamishoni baada ya kushindwa katika uchaguzi wa urais wa mwaka 2016 dhidi ya Adama Barrow. Utawala wake wa kiimla ulihusishwa na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu, ikiwemo mauaji ya kiholela na kukamatwa ovyo.
Tume ya Fidia ya Gambia ilianzishwa mwaka 2017 kwa lengo la kuchunguza ukiukwaji huo, kukusanya ushahidi na simulizi kutoka kwa waathirika na mashahidi, pamoja na kusaidia mchakato wa haki ya mpito na maridhiano ya kitaifa.
=============
The Gambia Reparations Commission has begun paying reparations to victims of human rights abuses perpetrated under the regime of former Gambian dictator Yahya Jammeh, the body said in a statement on Monday.
The commission described the move as a "significant milestone" in its mandate for "justice" and "dignity."
It said payments are being disbursed in phases, starting with victims who endured violations early in Jammeh’s rule.
"The Commission reaffirms its unwavering commitment to delivering transformative, transparent and victim-centered reparations in accordance with its mandate," the statement read.
Jammeh, a military officer, seized power in a 1994 coup and held onto the presidency until 2017. He went into exile after losing the 2016 presidential election to Adama Barrow.
Jammeh's authoritarian rule was marked by human rights violations, including extrajudicial killings and arbitrary arrests.
The Gambia Reparations Commissions was created in 2017 to investigate abuses, collect testimonies from victims and witnesses, and work towards transitional justice and reconciliation.
Source: African news