Raphael Thedomiri
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 442
- 729
Wakati dunia na hasa mataifa ya magharibi yakiendelea kulaani utekelezwaji wa hukumu ya kifo kwa waandamanaji 2 walionyongwa na serikali ya Irani hivi majuzi,
Taarifa iliyochapishwa na vyombo vya habari vya serikali ya Iran leo, imesema kikosi cha walinzi wa kimapinduzi nchini Iran Jumapili kimewakamata watu saba wenye uhusiano na Uingereza,wakiwemo baadhi ambao wana uraia pacha, kuhusiana na maandamano dhidi ya serikali ambayo yameitikisa nchi hiyo.
Ni yapi yanayoweza kutokea endapo mahakama yao itawakuta na hatia na kuwahukumu vifo? Ukizingatia na hali ya kidiplomasia iliyopo kati yao na mataifa ya magharibi!?
chanzo cha taarifa;
VOA