Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Jean Bokhasa alikua mwanajeshi aliyepigana WWII Katika jeshi la Ufaransa. Katika maisha yake jeshini kiongozi aliyemhusudu na kupenda kufuata nyayo zake alikua Napoleon.
Bhokassa alikua mfujaji sana wa pesa, aliishi maisha ya anasa sana. Wapinzani wake waliuliwa kama kuku.. Alipoamua kujisimika cheo cha Ufalme wa Afrika ya kati alifanya sherehe ya kufuru. Baada ya sherehe serikali ili kosa hata pesa ya kujiendesha.
Mataifa ya Magharibi walimuona Bhokasa kama kituko, hawakuwa tayari kumpa msaada. Gaddafi alimpa msaada Bhokasa kwa masharti ya kubadili dini na kukubali kuueneza Uislam Afrika ya Kati. Rais Mfalme alikwenda Libya kufuata msaada na kubadili dini. Aliitwa Saladine Bhokasa. Inasemekana alirudi a dini yake ya Ukatoliki siku chache kabla ya mauti yake
Jean Saladine Bhokasa akiwa anaiga mavazi ya Napoleon