Serikali ya jiji Dodoma imetoa amri kubomoa nyumba yetu na kuondoka ndani ya siku 7

Pole sana ila Dodoma usiamini Makaratasi Bila kuwa na Hati ya Eneo Wanazungukana na mawaziri hawa wanabadilishwa Kila siku kama Ndala za Uani
 
Na Huwa Masikini Wako Vema Eneo Hilo
Tanga Wana Kitu Kinaitwa Zongo
Ukipigwa Hilo Tumbo Lijaa Unajamba

Unacheua Uvundo




Tarime Sasa Hasa Rorya, Kijiji Buturi
Ukila Hovyo Hovyo Unapigwa Kombara Moja Huchomoi
Vijijini Wanajua Kuwanyoosha Watu
Umemaliza.
Mwenye Kesi hatutamfundisha kila kitu Acha ahangaike na Sheria zimnyooshe.
 
Na huu ndio ukweli wenyewe kabisa.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…