SoC04 Serikali ya JMT inatakiwa kuchukuwa hatua madhubuti katka kusimamia rasilimali za taifa hasa kwa kuwekeza kwenye rasilimali watu ambao ndio msingi

SoC04 Serikali ya JMT inatakiwa kuchukuwa hatua madhubuti katka kusimamia rasilimali za taifa hasa kwa kuwekeza kwenye rasilimali watu ambao ndio msingi

Tanzania Tuitakayo competition threads

rupera

New Member
Joined
Jun 16, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Serikali ya JMT ili kufikia mabadiliko yatakayoleta maendeleo wananchi waliyo na kiu nayo serikali inatakiwa kuwekeza sana kwenye rasilimali watu kuendana na mabadiliko yenye mapinduzi ya tekinolojia katika kutelekeza miradi mbalimbali na kuchagiza ubunifu wa ndani uliosambamba na matakwa ya mahitaji ya nchi ili kupunguza hali ya utegemezi katika mambo mengine yasiyo hitaji ulazima wa kutegememataifa ya nje hasa katika kuhuisha wigo wa maendeleo yanayohitaji gharama kubwa za uwekezaji kwasababu ya kutegemea kila kitu kutoka mataifa ya nje hasa magharibi.

Serikali kuhakikisha kilimo cha kisasa ili kutosheleza mahitaji na kuangazia masoko ya nje kwa maloghafi zinazozaloshwa ili kuongeza na kukuza pato la pesa za kigeni katika Benki ya taifa.

Serikali inatakiwa kujenga miundo mbinu ya tekinolojia kwa ajili ya kuchagiza na kongeza jitihada za kuboresha ufanisi wa sekta nyingine zote za kimkakati zinazotegemea tekinolojia katika utendaji kazi wake ili kuwa mwarobaini na mbadala wa changamoto zilizokithiri kwa muda murefu.

Serikali inatakiwa kuboresha na kujenga sekta ya usafirishaji ili kifanya sekta mtambuka inayotegemewa kuchochea shughuli zote za kiuchumi kwa kuziunganisha sekta zote na kuondoa utitiri katka utekelezaji.
 
Upvote 2
Back
Top Bottom