Serikali ya Kenya haitaweza kufumbia macho serikali ya Tanzania tena! Lazima watasaidia demokrasia

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Serikali ya Kenya haitaweza kufumbia macho serikali ya Tanzania tena! Lazima watasaidia demokrasia.

Kikubwa ni kwamba Kenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania. Lakini Tanzania na Kenya ni watu walewale waliotawaliwa na makoloni tofauti. Kuna maelewano sasa kwa Raisi Ruto wa Kenya na Odinga kwamba ni lazima Kenya itafute njia ya kuisaidia Tanzania kuwa nchi ya demokrasia.

Ukanda huu kwenda chini Malawi, Zambia na hata Msumbiji zinaenda vizuri kwenye demokrasia kuliko Tanzania sasa huu ukanda kutoka Kenya mpaka south Africa kunatakiwa kuwa huru ili kuongeza uwekezaji. Kenya ambayo ndiyo yenye uchumi mkubwa haitaweza kuendelea kwa kazi kama Tanzania itaendelea kuwa na unyanyasaji na serikali kuwapiga na kuwafunga wanaharakati kwa kiasi hiki.

Kwasasa za ndani ni kwamba mtu wa kwanza kwenye List yao ni Askofu Gwajima na mwingine ni Lissu lakini wanatafuta wa vijana wengine kama Mpina na wengine ambao hawakubaliani na manyanyaso ambao wapo CCM.

Mikubwa sana imeanza ndiyo maana kwa hamaki serikali imekuwa inazuia Chadema na viongozi wengine kuingia Kenya lakini wasicho kijuwa ni kwamba sasa watu wa usalama wa taifa wa kenya wataanza kuja Tanzania kuweka mambo sawa.
 
Hizi ndoto za abunuasi. Mawazo yako upo ndotoni ukichelewa utaota unajikojolea.

Muhimu: no reform no election
 
Kulialia hakusaidii na propaganda hazitasaidia.

Kikubwa watanzania wenyewe waamke ndipo uhuru kamili utakuja. Unaweza kukuta hata hao EU na US parliaments wanatikisa kiberiti ili mambo yao yanyooke hapa nchini. Na kama ujuavyo nchi yetu ni ombaomba. Wakishafunguliwa milango tu wanatulia.

Hakuna nchi iliyoendelea kwa kusaidiwa kila kitu na wageni. Mgeni anapokuja kukushauri ndani mwako basi ujue kuna mahali atafaidika iwapo utafuata ushauri wake
 
Back
Top Bottom